Wewe
manoah wee!
Mbona umecharuka! Kumbe uko mpana kiivi ?
Una hazina ya makitu adimu namna hii!
Ona sasa ushantia ndimu ya kwenda kumtoa
YNNAH ofisini akanitendee haki zangu!
Eventhough hiyo "risepsheni" haijafika hata nusu kwa "lirisepsheni" la
YNNAH! Yaani weka mbali na watoto!