Ijumaa Yangu..... Jiunge Nami!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Wakulu, wajukuu na vijana wangu.

Huyu mkoloni wangu kajipendekeza kuingiza mshahara mapema mwezi huu. Ntautandikaje weekend hii? Nawakaribisheni nyote hasa wale wapenzi wa ulabu. Bila kujali chochote

attachment.php

Tukajinafasi. Tupige ulabu mpaka kieleweke.... Mabinti nawatahadharisha msije mkazidiwa mkaaibika kama CUTE alivyoingia kwenye anga zangu.
attachment.php

My dear Kongosho, come this way
attachment.php

Nyie Yummy na cacico, acheni kumgombea Erickb52, jiungeni nami kuupiga mtungi.

attachment.php

Na wewe charminglady njoo umwone Judgement alivokuwa anakudanganya wakati mnachat
attachment.php

Mwalimu gfsonwin njoo ukaone kanafunzi kako nlikokafundisha kupiga ulabu kabla hakajaanza la kwanza
attachment.php

Hommie Kaizer, hivi leo ni Jumangapi? Umpitie Bishanga uje naye.

Thanks GOD Its Friday!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmmhhh! Asprin hivi leo ni lini? na saa ngapi sasa hivi? lol!
 
Last edited by a moderator:
Hommi Asprin ntajiunga na wewe ila api kwa CUTE ntataka mwongozo , binti anajua mapishi uneona menu aloniandalie afu eti ndo alewe ivi? Nooo

Halafu kesho ni lini?
 
Last edited by a moderator:
Hommi Asprin ntajiunga na wewe ila api kwa CUTE ntataka mwongozo , binti anajua mapishi uneona menu aloniandalie afu eti ndo alewe ivi? Nooo

Halafu kesho ni lini?

khaa! nimekubamba, kumbe unakulaga kwa watu despite effort zangu za kukupikia na kukuandalia ma launch box? yaaani hapa umetangaza vita leo sitaki kuskia cha nini wala nin kumbe wanaume ndo mlivyo. sasa na uroda urudi huko huko.
 
mmmmhhh! Asprin hivi leo ni lini? na saa ngapi sasa hivi? lol!
Leo nadhani ni Alhamisi jumlisha moja....mida sijui ila najua ni mchana na mkoloni wangu lazima atorokwe.

Hommi Asprin ntajiunga na wewe ila api kwa CUTE ntataka mwongozo , binti anajua mapishi uneona menu aloniandalie afu eti ndo alewe ivi? Nooo

Halafu kesho ni lini?
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hommie kesho ni Jumapili toa moja. Siku maalum kwa vitu maalum afu jumapili tunawahi kanisani kusali sala maalum. Kuna sehemu umemuona Mentor?
 
Last edited by a moderator:
kumbe Asprin hatukukosea kukuweka wewe mpiga ngoma kwenye kilugwai manake ulikuwa unapiga kama mwanafunzi wako lol!
 
Last edited by a moderator:
lol! hicho kiti alichokalia Erickb52 mbona hakiendani naye wallah! atakayeshinda hapo kati yangu na Yummy ndio atakuja nae kwenye kilevi, stay tuned!
 
Last edited by a moderator:
Yesu wangu Asprin nimechekaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii ngoja kwanza nikapate lunch halafu narudi hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahah babu Asprin nipo around nimesikitishwa tu huku ofisini kutokana na mabadiliko ya ghafla yaliyotokea...sijaweza kufanya kazi yoyote apa najifanya bize na computer (the beauty of being a programmer)...mida iishe niondoke...mayb Tuesday toa moja nitakuwa fine!
So babu, wapi hiyo mahali aisee nije nipunguze stress aise..i really nid dat!!! so sad....:sad:
 
Mkuu Mentor pole sana. Ila jitahidi kwakuwa haya makitu yatakuwepo na kama unavyoona Preta kwa kukata mauno hana tatizo....
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom