Ijumaa khareem

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,749
12,670
tuombeane
 

Attachments

  • 1418362293357.jpg
    1418362293357.jpg
    63.6 KB · Views: 452
Sema leo ni ibada vinginevyo ningesema ana vidole vizuri ila kwavile leo ni ibada we acha tu ulete na siku ingine kama jumatatu vile ili asikwazike mtu

ina inapendeza mtu mweupe ila mweusi kama mimi inakuaga kama uchafu
 
Aksante na jazakallah na mungu akujalei uwe na moyo wa upendo na amani na pasipokuwa na shari na jitahidi kueyepuka sharri maana siku hizi ndo mtaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom