Ijumaa Kareem

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,311
Reaction score
970
Assalaam alaikum warahmatullah wabarakaat.

Tunapitia mitihani, tunajifunza na tunabadilika. Kila jaribu lina hikma yake katika kutuimarisha na kutuongoza.

Mwenyezi Mungu atujaalie sote hekima, subira na tawakkul katika kila hali ya maisha. Amin🤲

Jummah Kareem.
 
Alhamdulilah 🙏
 
Bismillah Rahman Raheem

Unajua kwanini waislamu wameamlishwa kusali swalah tano (5) kwa siku..?

Ni kwa sababu ya kuwatofautisha na wayahudi (sabato) na watu wa kitabu (wakiristo).

JUMAA (IJUMAA)
Siku ya 6 katika juma (wiki) siku iliyobarikiwa,
IJUMAA ni siku bora kuliko siku zote,
• Ni siku ambayo nabii Adam (a.s) aliumbwa
• Ni siku ambayo nabii Adam aliingia peponi


Surat Al jumu'ah

Enyi mlioamini,ikiadhiniwa swala siku ya IJUMAA, bas nendeni haraka kumudhukuru Mungu . Na acheni biashara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…