kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
- Thread starter
-
- #21
Relax buddy. Just ignore him...Watu wengine wana stress na wanatafuta watu wa kushea nao hizo stress.
Pole sana kwako na kwa huyo mtoto aliyebakwa. Umemfikisha muhusika kwenye vyombo vya sheria?Ni kweli mkuu! Kwanini mtu usiwe na stress wakati umempeleka mtoto madrassa badala ya mafundisho ya dini anaenda kubakwa na mwalimu wake!
dah! Mkuu bado ipo kama vipi karibu upate hata moja baridiUkikosa huko njoo kwa Mama John.
aah mbona hao ndio wateja wakuu wa hiyo kitu?usipende kuchezea dini za watu kyalankota
Moshi Tshs. 9000/= pande mbili aka kilo.bukoba kilo sh 4000 mbichi
ikipikwa kg moja 6000.
raha sio raha?
Pole sana kwako na kwa huyo mtoto aliyebakwa. Umemfikisha muhusika kwenye vyombo vya sheria?
usipende kuchezea dini za watu kyalankota
Dah! Ngoja niende Ilomba maeneo ya Tumaini.
Utanifanya nihamie huko!
Kukaribisha watu kitoweo ni kuchezea dini za watu?
mbeya mkuu njia panda ya Veta karibu tupo hapa na wazee wa escrowHee mkuu Ilomba ya wap hiyo? ya mbeya ama?
Plus Katerero hutarudi wewe.....
hivi jamani utani wa kidini unaruhusiwa? hili tangazo si ungeweka jumapili au linahusika na wale watu wa ijumaaa
Relax buddy. Just ignore him...Watu wengine wana stress na wanatafuta watu wa kushea nao hizo stress.
Ntapiga katerero za kutosha akina Koku!