Ijumaa hiyooo!!

Ijumaa hiyooo!!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,600
Reaction score
1,089
Hapa hata ije EL NINO tunakamua tu...
 

Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    55.5 KB · Views: 1,190
Hapo nahisi mhudumu amekataa kupeleka kinywaji lawama mtindo mmoja
 
Hii kali !
Kweli wa TZ mmekubaliana na hari bora kwa kila mtanzania.
Mh maji hayo sio yale ya kwetu uswazini?
Hapa kipindupindu tutapona?
 
Hii kali !
Kweli wa TZ mmekubaliana na hari bora kwa kila mtanzania.
Mh maji hayo sio yale ya kwetu uswazini?
Hapa kipindupindu tutapona?

Mambo haya lazima iwe uswazi...
 
attachment.php


Ulabu ukishakolea kila kitu machoni huonekana murua tu...na hapo hao wanaweza kukesha na kuamkia hapo hapo maana maji huko miguuni yana-neutr
alize hiyo kachusa/machozi ya simba/supu ya mawe...etc
 
Dah kali kweli,lazima itakuwa mitaa ya Mererani kwa wagumu.
 
Duu hii kali, hapo kauli mbiu "Piga ua kamati lazima tuvunje"
 
Duh!watakuwa hawalewi,maana maji yanadailuti pombe!!
 
Yes sasa naanza kuelewa nini maana ya maisha bora kwa kila mtanzania
 
hahahahahahaha lol
Ah hawa lazima ni wasela mavi tu, kiu gani hicho?
 
Back
Top Bottom