Ijue zaidi kazi ya real estate

Ijue zaidi kazi ya real estate

ufalmedigital

Member
Joined
Apr 24, 2025
Posts
29
Reaction score
37
MAANA YA REAL ESTATE

Real Estate ni kazi au biashara inayohusiana na kununua, kuuza, kupangisha au kuwekeza kwenye ardhi, majengo, nyumba au viwanja. Ni sekta inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa makazi na maendeleo ya miji.
AINA ZA REAL ESTATE

1. Makazi (Residential Real Estate)
– Nyumba za familia moja
– Apartment au flats
– Nyumba za kupanga kwa wanafunzi au wafanyakazi
– Hosteli karibu na vyuo

2. Biashara (Commercial Real Estate)
– Majengo ya ofisi
– Maduka na supermarkets
– Hoteli, gesti, lounges
– Warehouse

3. Ardhi (Land Investment)
– Uwekezaji wa viwanja vya kuuza baada ya muda
– Kununua ardhi maeneo yanayokua kwa kasi

4. Viwanda (Industrial Real Estate)
read more at ChuoSmart | kazi ya siku:REAL ESTATE
 
Real estate sio kazi, real estate inajumuisha ardhi na kitu chochote kilichoshikana (permanent attached) na ardhi.
Real estate agency ndio kazi kama ulivyoeleza.
 
Back
Top Bottom