Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
Umeshasikia kuhusu toleo jipya la Windows lijulikanalo kama Windows 7 Si ndio ambayo iko katika majaribio sasa hivi
ANGALIA ATTACHMENT KWA MAELEZO ZAIDI
ANGALIA ATTACHMENT KWA MAELEZO ZAIDI
Ndio....unaweza kuipata buree 0.00 Tsh...microsoft wametoa toleo linaitwa Release candidate(RC) na itakwisha muda wake june 2010..... soma hapo down na kufuata instruction jinsi ya ku download bure kabisa....naweza kuipa free?
mkubwa specialist thanks kwa kutupa article lakini mbona kama umekwiba sehemu......au wewe ndio yona maro?ahsante dogo kwa kunikumbusha nimeshaweka net iko slow kidogo huku ulimwenguni
mkubwa specialist thanks kwa kutupa article lakini mbona kama umekwiba sehemu......au wewe ndio yona maro?
ahsante dogo kwa kunikumbusha nimeshaweka net iko slow kidogo huku ulimwenguni