Ijue windows 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ijue windows 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, May 24, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  May 24, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Umeshasikia kuhusu toleo jipya la Windows lijulikanalo kama Windows 7 Si ndio ambayo iko katika majaribio sasa hivi

  ANGALIA ATTACHMENT KWA MAELEZO ZAIDI
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu I.T. Specialist and Digital Security Consultant attachment haipo....
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  May 24, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ahsante dogo kwa kunikumbusha nimeshaweka net iko slow kidogo huku ulimwenguni
   
 4. m

  mchakato Member

  #4
  May 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  naweza kuipa free?
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ndio....unaweza kuipata buree 0.00 Tsh...microsoft wametoa toleo linaitwa Release candidate(RC) na itakwisha muda wake june 2010..... soma hapo down na kufuata instruction jinsi ya ku download bure kabisa....

  http://www.microsoft.com/Windows/Windows-7/download.aspx
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkubwa specialist thanks kwa kutupa article lakini mbona kama umekwiba sehemu......au wewe ndio yona maro?
   
 7. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza,kila kitu Shy akiweka hapa mnadai ameiba sehemu.
   
 8. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hii attachment imenizingua, inaleta message kuwa 'The file is damaged and could not be repaired. Unaweza ukaweka tena hiyo attachment ili na sisi wadau wa LINUX tuiangalie hiyo windows 7 ina features zipi...
   
 9. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  WINDOWS 7 ZAIDI

  Hapo mwanzo tulijaribu kuona tofauti zilizokwepo kati ya windows vista na Windows 7 kwa mifano kadhaa ya muonekano wa baadhi ya vitu ndani ya Windows 7 pamoja Utendaji wake kazi , Ila tukubaliane kitu kimoja nacho ni kwamba Windows 7 iko fast sana na nyepesi kwenye kufanya shuguli nyingi sana zaidi ya Window vista , Ukiwa na windows 7 ni kama uko na windows Xp windows 7 inazidi baadhi ya vitu vya kiusalama na Graphics .

  Wakati naandika Toleo la kwanza la Ijue Windows 7 nilikuwa sijapata Office 2010 , kwa siku za karibuni ndio nimeipata Office 2010 nikafanikiwa kuweka katika windows 7 kuona inavyofanya kazi , kwa kweli haina tatizo sana na Windows 7 zaidi ya kuchelewa kuload wakati inapoistart hiyo application ya office sio kama office za nyuma kama xp , 2000 , 2003 na 2007 .

  Kuna wale waliokuwa wanalalamika kwamba Baadhi ya Programu professional hazifanyi kazi katika windows Vista mfano Prokon 2.1 , Master series 2006 , hizi programu zinafanya lakini mpaka wakati unaanza mara ya kwanza Right Click Juu ya Icon ya Programu husika Run As Administrator , hili ni kosa la Microsoft ila kosa hili kwenye Windows 7 haliko tena .

  Lingine nililoona ni kuhusu Antivirus , katika version ya Windows 7 niliyotumia mimi , sikufanikiwa kuingiza antivirus yoyote ya nyuma mpaka sasa imekubali kuingiza Symantec Enterprise Server Edition ( 2009 ) antivirus hii huwa naitumia zaidi katika windows 2003 server hata client yake imekataa kuingia katika windows 7 sijafanya uchunguzi kujua ni kwanini lakini bado tunaendelea kuona itakavyokuwa , hata Kaspersky 2010 Antivirus nayo inakubali kuingia sema haikubali kufanya activation Ukiwa Nje ya Mtandao mpaka uwe katika Mtandao ndio huwa inakuli hata kama una Keys zake tofauti na zile editions za nyuma za antivirus hii .

  Kwa wale waliokuwa wanaogopa windows vista kutokana na Utaratibu wake wa kufanya Kazi , badi sasa wahamie Windows 7 waone mambo Makubwa zaidi , nitaendelea kuwaandikia zaidi jinsi ninavyoweka programu zinavyofanya kazi na mengine zaidi
   
 11. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  FYI
  Windows Vista, Windows 7 and Server 2008 R2 zote ni sawa tofauti yake ni Installation Key ndo inajua kuwa feature zipi ziload unapofanya Installation. Hii tumeambiwa na Team ya Microsoft ilivyokuwa katika Bus tour ya kuelezea juu ya technology inakoelekea.
   
Loading...