Mkuu kuna hii pia yafanana na hicho kisa!
Baba kaenda gest na mchepuko, halafu binti Yake huyo baba ambae bado ni mwanafunzi anaenda gest hiyo hiyo na hawara Yake , sasa Kwa Bahati mbaya wakakutana Uso Kwa uso baba na binti Yake hapo gest kila Mtu akiwa na mtuwe [emoji87][emoji87][emoji87][emoji14]
Sasa je baba ataweza kuwa na ujasiri wa kumgombeza , kumuadhibu binti Yake ?
Maana baba atakapojaribu kulianzisha binti naye atakinukisha Kwa mama Yake mzazi ambae ni Mke wa huyo baba Mtu [emoji14][emoji14][emoji14]
Kaaaaazi Kweli Kweli ....
Je Wewe mwana JF ungeonelea kifanyike kipi hapo?