Ijue vita ya kiroho ya mapenzi

Ijue vita ya kiroho ya mapenzi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,676
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.

Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

*Hivi mmenielewa kweli.
 
Umeeleweka mkuu.Kwa hali hiyo, itabidi wahusika wabadilishane makazi tu.Kila mmoja aondoke na mchepuko kwa kuwa ndilo walilolichagua kulifanya.
 
Mke na mume wamechepukishwa nadhani ndiyo kichwa cha habari cha uzi wako
 
Sio mbaya mtasameheana huko huko uvunguni mkifanikiwa kutoka salama mnaanza ukurasa mpya!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usifurahi kula cha mwenzako ujue furaha hiyo utaenda kwa itarudi kwa mwenyewe."Mtenda naye hutendewa.
 
Hapo hakuna kugombana... Busara itumike waende nyumbani wachane karatasi waanze ukurasa mpya........ Iyo inaitwa mbwa kala mbwa
 
Hapo mwanaume lazima aseme eheeee nilijua tu na leo utakuja ndo mana nikamwambia mke wa jamaa anifiche humu ili ajue mmewe anachepuka
 
Mkuu kuna hii pia yafanana na hicho kisa!
Baba kaenda gest na mchepuko, halafu binti Yake huyo baba ambae bado ni mwanafunzi anaenda gest hiyo hiyo na hawara Yake , sasa Kwa Bahati mbaya wakakutana Uso Kwa uso baba na binti Yake hapo gest kila Mtu akiwa na mtuwe [emoji87][emoji87][emoji87][emoji14]
Sasa je baba ataweza kuwa na ujasiri wa kumgombeza , kumuadhibu binti Yake ?
Maana baba atakapojaribu kulianzisha binti naye atakinukisha Kwa mama Yake mzazi ambae ni Mke wa huyo baba Mtu [emoji14][emoji14][emoji14]
Kaaaaazi Kweli Kweli ....
Je Wewe mwana JF ungeonelea kifanyike kipi hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom