Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

KUKU NDO NO 1 ANALIWA NA DUNIA NZIMA DINI ZOTE , NA NI MDOGO KWA HIYO WANACHINJWA KWA WINGI SANA KUTOSHELEZA MAHITAJI
 
kwahiyo mdudu ni namba moja. au kwasababu wachina ndio chakula chao kikuu? mle kwenye miili ya wachina kukiipasua vimejaa vimelea vya protin vilivyotokana na kitimoto tupu. wachina wanakual kitimoto kuliko hata wazungu.
Ila tafiti zifanywe kuhusu ulaji wa huyu mnyama maana wanaokula sana wanaonekana ni watu wabunifu na wamnaendelea kwa haraka.Inawezekana Ina bust ubongo
 
Ina utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
Tufanye tafiti kama china vichaa ni wengi ukilinganisha na idadi Yao,maana wao nahisi ni no 1 Kwenye ulaji wa huyu mnyama pendwa.
 
Kuku aliongoza mwaka 2021-2022 akimzidi professa kwa utofauti wa asilimia 3 pekee.

Na hiyo ilitokana na threat ya Covid 19 ila tangu hapo kuku ameachwa vibaya sana na hategemewi kumpata profesa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti professor
 
Namba 9 nitakata rufaa, sio haki kabisa. Sisi mbona hatuwali binadamu? πŸ™†
 

Hivi uliwahi sogelea hata ya nungunungu wewe?wee acha tuu
 
Nyama ya kuku imepigwa chini na kitimoto. Kuku anachukua namba mbili japo ni nyama yenye heshima na hadhi ya juu hususani kwa wageni na watu wanaoheshimika huandaliwa nyama ya kuku
Kumbe kuna kuku kwenye list nimekimbia upesi kujua aliye shika usukani, kuku ni kama Suti harusini ila jeans namba moja kuvaliwa.ni opinion 🀣🀣🀣
 
β˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈ
 
Nadhani kuku alistahili kuwa namba moko hapo....amehujumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…