Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

[emoji241] anaendeleaa kuongozaa, na haringi wala nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha jana kitifore kamtafuna mtoto wa watu Tabora huko. Nimekaa palee na bakuri langu atakapochinjwa nipate share yangu mapema😆
 
Namba Moja ni Balaa
 
Kuwa makini faiza yupo humu
Chanzo mbona cha mashaka. Utafiti umefanyika lini, nani, nani kaufadhiri, na nini kilisukuma kufanyika, wameohojiwa au kunukuliwa vyanzo vingapi, wapi na kama itawezekana maswali yaliyotumika au namna ulivyofanyika utafiti husika.
 
Huyu ni peking duck nadhan, hana nyama nyama kama roasted goose.

Of course ilikua china ila ni guangzhou sio beijing.

wao wanakwambia ile ni imperial dish

Beijing kaoya inatengenezwa na inaliwa mahali popote China si lazima uwe Beijing ambapo ni origin yake...ila hutengenezwa kwenye hoteli kubwa...

Kama ulikula mtaani tu basi alikuwa ni bata mwingine tu sio huyu...
 
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani
Mdudu asingeshikilia namba moja ningeandamana aiseeee. Kitimoto atabaki kuwa kitimoto, anapitia vita Kali sana ya kisiasa eti anaambukiza magonjwa but jamaa Yuko top ten miaka nenda miaka Rudi. Long live Legend
 
Nyama ya kuku imepigwa chini na kitimoto. Kuku anachukua namba mbili japo ni nyama yenye heshima na hadhi ya juu hususani kwa wageni na watu wanaoheshimika huandaliwa nyama ya kuku
Kitimoto awe kwenye bendera ya Taifa aiseeee
 
Kumbe jamaa Yuko KIMATAIFA hahahahahah acha kabisa aiseeee! See you at the Top Kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…