Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Safi kwa taaluma hiiNi kweli nakubaliana na wewe
Ng'ombe ina zaa kama mtu, kwa mwaka ni mara 1 hakafu ni single offspring ukibahatika kupata dual labda zari.
Ukuaji wa ng'ombe huchukua muda mrefu na wenye gharama kubwa zaidi kumzidi inspekta.
Ng'ombe kabla ya kumchinja ataku offer maziwa, hivyo sababu ya kumchinja inazidi kushuka kwasababu kuna kitu kingine unazidi kukipata akiendelea kuwa hai.
Lakini inspekta yeye yupo specialized kwa ajili ya msosi tu
Pamoja na hayo yote tukija kwenye utamu bado ng'ombe kwa nspekta hafui dafu.
Panya anaingi hapo kwa sunguraAisee, mbona sijaona panya hapo?
Pale Dubai kuna Yacht inatoa huduma za huyo ofsa.Namba Moja ndio penyewe.
Waarabu wanakula sana mdudu sema wanajificha.
Hata waarabu wa kimatumbi nao wanatafuna sana mdudu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Noma sanaPale Dubai kuna Yacht inatoa huduma za huyo ofsa.
Watu wanapoingia pale wanaacha kanzu kwao wanakuja na majinsi ili kupoteza maboya.
Adolph Jr yule mdada akiwa sirini hatoacha kuonja.Kuwa makini faiza yupo humu
Hii labda tumuulize mnyalukolo johnthebaptist .Na nyama ya mbwa je[emoji23]
Blaza nichomee Mdudu Handsome kilo mbili hapo...Kwahiyo nyama yetu pendwa imeibuka kidedea?View attachment 2669200
Siku utakapoonjeshwa utabadili mu stand.Nguruwe ni uchafu
Huyo kuku amerasimishwa na nani!? Kama Nyama ya heshima!?....Nyama ya kuku imepigwa chini na kitimoto. Kuku anachukua namba mbili japo ni nyama yenye heshima na hadhi ya juu hususani kwa wageni na watu wanaoheshimika huandaliwa nyama ya kuku
Ngoja nimwiite FaizaFoxy Njoo kuna Uzi wako hukuKuwa makini faiza yupo humu
Kumbuka wale nguruwe walijitosa baharini wakafa...labda utuambie mapepo yalibaki baharini.hivi yale mapepo Yesu alifukuza kutoka kwa yule mtu alikuwa Kichaa yakaingia kwa Nguruwe yalitoka? kwani sijaona tena mstari unao yaongelea kwenye Kitabu Kitakatifu