Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

kwahiyo mdudu ni namba moja. au kwasababu wachina ndio chakula chao kikuu? mle kwenye miili ya wachina kukiipasua vimejaa vimelea vya protin vilivyotokana na kitimoto tupu. wachina wanakual kitimoto kuliko hata wazungu.
 
Huu uzi nimeusoma kama mtu anayebeti anavyokagua mkeka.
Nilikuwa nascroll tu huku jibu ninalo kichwani, nilipoona KITIMOTO tu nikajisemea MKEKA UMETIKI, list imethibitishwa na TBS na mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na ISO.
[emoji23]
 
kwahiyo mdudu ni namba moja. au kwasababu wachina ndio chakula chao kikuu? mle kwenye miili ya wachina kukiipasua vimejaa vimelea vya protin vilivyotokana na kitimoto tupu. wachina wanakual kitimoto kuliko hata wazungu.
[emoji39]
 
Nikafikiri kitimoto ni namba kumi. Huu uzi ungebatilishwa
 
Mimi kama Kaka Mkubwa wa Faiza foxy nasisitiza kuwa hii orodha ni kweli kabisa.
 
Namba Moja haina mpinzani miaka 10000
 
Nimeona neno kitimoto hadi akili imehama, mate yashanijaa mdomoni nishawaza ntakipata wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ina utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
 
MKuu, huyu huwa hana cha Mashariki ya mbali wala nini, huyu hata wanaomkataa huwa wanamla wakiwa uvunguni mwa vitanda hata vyooni.
 
Ina utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
Nenda ukaile kwanza ndiyo uje hapa kubisha, tutakupa siti ya mbele kabisa ubishe utakavyo. Mtu hujawahi kuila unataja kui diss au ni miongoni mwa mnaila mkiwa mmejifungia vyooni?
 
Naam!

Mbuzi wa Vatican ni numbero uno. Hana mpinzani huyu mwamba aisee na ukifanya kosa ukamuonja tu basi kwisha habari yako. Yaani ni sawa na kula nyama ya mtu maana ukiila tu ni lazima utaendelea kuila (in Mwl. Nyerere's voice) πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ


 
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Na bado kuna dini haziruhusu ila bado inalika, kwa nini kina mudi msikubali tu kukataza nguruwe ilikuaga mistake
 
Safi sana
 
Leta reliable source ya hii habari yako,hapa sio fesibuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…