Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

Nina imani kwamba mbwa analiwa pengine zaidi ya huyo mnyama namba 10, isipokuwa hao WFP hawajataka kumuorodhesha vile kuna kampeni za kupinga uliwaji wa pets...

Mashariki ya mbali ambayo ndio kuna population kubwa ya wanadamu, wanakula sana hiyo makitu...
 
Huu uzi nimeusoma kama mtu anayebeti anavyokagua mkeka.
Nilikuwa nascroll tu huku jibu ninalo kichwani, nilipoona KITIMOTO tu nikajisemea MKEKA UMETIKI, list imethibitishwa na TBS na mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na ISO.
[emoji1787]
 
Hiyo namba 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…