JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakini ni mitambo tu, siyo gongo mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa.
MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe kwa kosa la kubaka.
JAJI: Kumbe ulibaka pia?
MTUHUMIWA: Hapana, ila hapa ninacho pia kifaa kinachotumika wakati wa kubaka
JAJI: Basi upo huru.
Serikali inabidi ikate rufaa kwa sababu Jaji amekosea hukumu.
Kifaa kinachotumika kubaka kinaweza kutumika kutengeneza vitu halali, kama vile watoto, lakini mtambo unaotumika kutengeneza gongo ni kidhibiti hitimisho kwa sababu, zaidi ya kutengeneza gongo, hautumiki kutengeneza maziwa ya watoto!

(Akimaanisha uume].

Yule Mzee Mangi Lyatonga Mrema alipokuwa anagombea URAHISI mwaka 1995, alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara hapa Shinyanga alisema kuwa akiwa RAHISI ataagiza mitambo ya kuchuja gongo ili inywewe kama Konyagi.
Kuhani, unasemaje hapo.
Kuhani Mkuu usije ukawa unatumia dini kufikia hii conclusion! Gongo kwa baadhi ya makabila ni dawa ya kipindupindu na hata malaria, so it is justifiable isnt it?
lakini najua kwa nchinyingine kama uturuki wana kinywaji ambacho basically ni kama gongo ambacho kwa sasa kinapromote sdana nchi yao.wanasema hujafika uturuki kama hujaonja "raki".kwa hiyo ni swala la kuwawezesha watengenezaji locals kuweza kutengeneza gongo amabayo itakuwa salama kwa matumizi...Alikuwa anawadanganya baadhi ya Wananchi wasio na uelewa sana. Plan yake ilikuwa ni kulitia maji Tembo halafu akaliuza bila kusema hili sio Tembo tena.
Gongo ni marufuku kwa sababu ni kemikali hatari ambayo haina vipimo. Ina michangonyiko ya aina za vilevi ethanol na methanol ambavyo vinaweza kukuua.
Mrema aliposema atachuja Gongo, ana maana kupunguza kiasi cha ethanol na kuchuja byproducts nyingine za alcohol fermantation, hususan methanol - ambayo ukinywa ovyo ovyo unapofuka macho.
Sasa ukisha punguza ethanol, na kuondoa hayo ma byproducts makali makali mengine, hiyo sio gongo tena.
Kwa hiyo sio kweli kwamba angewasaidia Wananchi kuhalalisha gongo.
Serikali inabidi ikate rufaa kwa sababu Jaji amekosea hukumu.
Kifaa kinachotumika kubaka kinaweza kutumika kutengeneza vitu halali, kama vile watoto, lakini mtambo unaotumika kutengeneza gongo ni kidhibiti hitimisho kwa sababu, zaidi ya kutengeneza gongo, hautumiki kutengeneza maziwa ya watoto!
...hufahamu components za mtambo wa kutengenezea gongo, ngoja nikupe kidogo kama sijasahau- huwa kunakuwa na at least debe au pipa mbili(inategemea na scale ya uzalishaji), pia kunakuwa na pipes na karai au sufuria kubwa. Ukiangalia hivyo vifaa vyote vina matumizi mengine na havikutengenezwa ili vitumike kwa kuzalisha gongo.
By the way, Kana-Ka-Nsungu, huwezi kumwambia mtu "wewe hufahamu X, Y, Z..." halafu hapo hapo , katika kumsahisha, na wewe unakuja na habari za "kama sijasahau." Jana tulikuwa na mjadala kwenye thread ya "Zanzibar hakuna Ufisadi" mtu aka demand source ya idea ya mwenzake kwamba wanaoutaka Muungano ni wachache, akasema sio kweli. Cha kusikitisha, yeye akaja na arguments zake kwamba wasioutaka ndio wachache, lakini akasema " I bet." Huwezi kutumia guesswork kumwambia mtu 'you are wrong.' Acha tumrukie!