Ijue sayari ya Jupiter kwa uchache

Mtoa mada Nina swali likiwa ndani ya uwezo wako lijibu,,,,kwanini jupeter ina miezi mingi Sana? Uwepo wake Una kazi gani au unahusiana na nini?
 
kutoka duniani mpaka mwenzini ni almost 300,000km kwahiyo spaceship zinafika kwa muda wa siku tatu ,na ilikutua ni kwamba wakifika kwenye anga la mwezi ile lander inachomoka kwenye spaceship inatua kwenye uso wa mwezi kwa gravity
Nimepnda Sana elimu yako uko vzr hata Kama Ni uongo unaeleza ila nakuelewa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kutoka duniani mpaka mwenzini ni almost 300,000km kwahiyo spaceship zinafika kwa muda wa siku tatu ,na ilikutua ni kwamba wakifika kwenye anga la mwezi ile lander inachomoka kwenye spaceship inatua kwenye uso wa mwezi kwa gravity
VIP mkuu zile vimondo asterod zilizoanguka huko songwe mbeya uko je imetokea ktk sayari ipi Asante

Na je kwann imechoka uko angani na Kuja kutua mbeya tz na siyo sehemu yoyote ya duniani Kam Kenya au Argentina

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jibu ni: Hakuna kimondo kinachotoka kwenye sayari yoyote wala hakuna sayari yeny vimondo ....

Hivi vimondo vinatofautiana sana kutokana na sehemu kilipo toka katika ulimwengu na vipo vya galaxy yetu ya milkway lakini vingi tunavyoviona siyo vya galaxy yetu sasa inategemea sana uundeaji wa hiyo galaxy ulikuwaje...Nadhani cha mbozi ni moja ya katika vilivyotoka katika galaxy yetu ndiyo maana composition (imeundwa) na material zinazo patikana kwa wingi hapa duniani.
Kuna vingine vimejaa madini kama platnim,diamond etc kunavingine vimejaa pombe kama ethanol...
Kutofautiana huku kunatokana na pressure,joto na aina za gesi zilizokuwepo wakati wa uundwaji wa galaxy husika.
Vitu tajwa hapo juu viliamua element za carbon ambazo ndiyo msingi wa madini mengi tunayoyajua zijipange vipi au kuungana na element zipi njingine kutengeneza vitu tunavyo vijua kama mchanga,dhahabi,lulu etc...
 
kuhusu swala la vimondo ,sio kwamba vimondo vimetoka kwenye sayari fulani bali huko anga za mbali kuna mamilioni ya vimondo ambavyo vinazunguka magimba mbalimbali kutokana na nguvu ya uvutano wa gimba husika ,sasa ikitokea kimondo kimetoka nje ya obit yake hutegemea na nguvu ya uvutano wa gimba lililo karibu na uelekeo wa kimondo husika,source ya baadhi ya vimondo inasemekana ni baadhi ya magimba ambayo yalizidiwa gravitational pull hivyo kuvutwa kwa nguvu na gimba fulani lenye nguvu kubwa na kupasuka lakini vipande vilivyobaki vinaendelea kuzungua na vipande ndio huruka kuangukia kwenye gimba jingine kama kile kilochonguka kule mbozi
 
Sayansi inabadilika sana. Mwaka 2001 nilisomaga dunia inaingia mara 11 kwa ukubwa wa jupiter wakati huo pluto tukiihesabu kama sayari.

Leo ukifanya mtihani na watoto unaweza kufeli si kwa sababu hujui, bali umepitwa na wakti.
I second you, mim nilikuwa najua Jupiter ina miezi 27 tuu leo hii imeongezeka na pluto ilikuwa sayari ya 9 ila sasa haipo na sayari zipo 8 tuu hahahahaha.
 
@Mzingo


Jupiter ni kama mpira,
Chukulia unakata mpira kwenye vipande vidogo kwa kuukatiza kutoka juu, kama mkate, ina maana kule juu kwenye ncha kisahani (Slice) chake kitakuwa kidogo kuliko kisahani cha katikati.

Kwa hiyo ukipima kipenyo cha kisahani cha katikati kitakuwa kikubwa kikubwa, hapo ndipo Ikweta.

Imeundwa na helium na hydrogen kwa wingi lakini kuna sehemu kuna solid helium kwenye mantel au Core.

Kinacho ongezeka ni gravity,
Na hapo uzito unakuwa ni weight.
Weight= mass × gravity (mg)
Mass (m) inabaki sawa lakini Gravity ikaongezeka na kusababisha weight kubwa
 
I second you, mim nilikuwa najua Jupiter ina miezi 27 tuu leo hii imeongezeka na pluto ilikuwa sayari ya 9 ila sasa haipo na sayari zipo 8 tuu hahahahaha.
Elimu ya anga unatakiwa uwe unajifunza kila siku maana ni kitu Cha muendelezo kam series tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…