Ijue sayansi ya Jua

I
Umenikubusha kitu. Jua hua linazama kwenye tope ikifika jioni na kudamka asubuhi sana
Soma Yoshua 10:12
Ndipo Yushua akanena na Bwana katika Siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli;akasema mbele ya macho ya Israeli;Wewe JUA,SIMAMA KIMYA juu ya Gibeoni;Na wewe mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
- Wameshindwa kujua kama jua limesimama,halitembei.
Yoshua 10:13
Ndipo jua LIKASIMAMA...
 

Arbab umemmaliza tayari sasa sijui kama anasubiri lizame kwenye tope au anasubiri lisimame bondeni akalisalimie :-D
 
Tunaomba kujua wana sayansi walio enda kupima joto la jua walitumia material gani?, nilijaribu sana kumfatilia Izack Newton mgunduzi wa jua lakini hakuna sehem aloandika kwa uyakinifu vifaa maalumu vilivyo tumika kupima joto la jua!

Izack Newton ndo mgunduzi wa jua? Lazima utakuwa unafanya utan
 

Kama hao Nasa ni binaadamu bas hawashindwi kudanganya.
 
Kama hao Nasa ni binaadamu bas hawashindwi kudanganya.

Hamuwezi mkakaa group zima mkasema tudanganye dunia... sio kitu NASA wanafanya, watu msidhanie science is a joke.. hujui tatizo la kudanganya ni kua lazima ukamatwe, kwenye science hakuna kudanganya, kitu wanachofanya usidhani wanafanya wao peke yao, wanakaguliwa na scientists dunia nzima! sasa kama watu 500+ wote wanaweza kuja na uongo na wakauficha vilivyo siri isitoke hayo si maajabu..

Hata waliopinga NASA kukanyaga mwezini leo hii wameanza kukubali wenyewe, proof zipo kibao za kuonyesha ilikua ni kweli.. Science doesn't lie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…