Ijue sayansi ya Jua

Ijue sayansi ya Jua

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto milioni15.5 'C katikati yake. Jua hubeba asilimia 99 ya uzito wote wa mfumo wa solar. Wastani Jua lipo umbali wa kilometa Milioni 150 hivi, lakini Mwanga wa jua husafiri kiasi cha dakika nane tu kuifikia sayari ya dunia.Inaelezwa kuwa,
Kulitazama jua bila vifaa maalum kwaweza kuathiri vibaya macho ya mwanadamu.
Na bila jua hakuna uwezekano kwa kiumbe yoyote mwenye mwili kuishi juu ya nchi.
 
Attachments

  • 1410970926043.jpg
    1410970926043.jpg
    86.4 KB · Views: 783
Sasa Hivi Inakuwaje Kwingine Linawaka Na Kwingine Haliwaki
Dunia ina aina 2 za mizunguko,kwanza dunia kuzunguka jua;mzunguko huu hutupatia misimu minne ya mwaka yaani kiangazi,kipupwe,vuli na masika. Pili,dunia kuzunguka mhimili wake Wenyewe; mzunguko huu utupa zamu ya mchana na usiku,na utofauti wa masaa katika uso wa dunia.
 
Attachments

  • 1410973852327.jpg
    1410973852327.jpg
    28.1 KB · Views: 593
Mbunge mmoja wa bunge la katiba anauliza. KAMA USO WA JUA UNA NYUZI JOTO 5500°c Je usiku joto hhilo hupungua kiasi gani.
Mbunge huyo kutoka chama pendwa akazidi kuuliza WALIO KWENDA KUPIMA HILO JOTO WALITUMIA ATC AU FAST jet ¿
 
Usishangae NASA wakikuambia wamefika juani.
 
Je jua linazunguka au limetulia?

Nyota zote katika galaxy yetu (zaidi ya nyota 100billion) pamoja na nyota iliyo karibu sana na dunia (jua) zinazunguka dude linaloitwa BLACK-HOLE ambalo ndio centre of the galaxy,

.made in mby city.
 
Mbunge mmoja wa bunge la katiba anauliza. KAMA USO WA JUA UNA NYUZI JOTO 5500°c Je usiku joto hhilo hupungua kiasi gani.
Mbunge huyo kutoka chama pendwa akazidi kuuliza WALIO KWENDA KUPIMA HILO JOTO WALITUMIA ATC AU FAST jet ¿

Mbunge mburula sana huyo. Kwani si ashaambiwa kuwa usiku hutokana na dunia kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake..!!?
 
Je jua linazunguka au limetulia?

Jua limetulia ,katika biblia; joshua aliomba mungu jua lisimame ili usiku usiingie amalize kuua adui zake vitani,na mungu akamjibu. Lakini elimu ilikua duni siku hizo,Joshua alikua hajui Geography ila mungu alimuelewa.Angeomba dunia isimame.
 
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto milioni15.5 'C katikati yake. Jua hubeba asilimia 99 ya uzito wote wa mfumo wa solar, unaojumuisha sayari na nyota. Wastani Jua lipo umbali wa kilometa Milioni 150 hivi, lakini Mwanga wa jua husafiri kiasi cha dakika nane tu kuifikia sayari ya dunia.Inaelezwa kuwa,
Kulitazama jua bila vifaa maalum kwaweza kuathiri vibaya macho ya mwanadamu.
Na bila jua hakuna uwezekano kwa kiumbe yoyote mwenye mwili kuishi juu ya nchi.

Nyota hazimo katika solar system.
 
Usishangae NASA wakikuambia wamefika juani.
Haiwezekani, lazima nishangae... Nje tu ya dunia hapo karibu radiations zinapiga ile mbaya.. mtu akaribie jua hajisomi?? hamna material yoyote ile duniani inayoweza stand joto la jua
 
Tunaomba kujua wana sayansi walio enda kupima joto la jua walitumia material gani?, nilijaribu sana kumfatilia Izack Newton mgunduzi wa jua lakini hakuna sehem aloandika kwa uyakinifu vifaa maalumu vilivyo tumika kupima joto la jua!
 
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto milioni15.5 'C katikati yake. Jua hubeba asilimia 99 ya uzito wote wa mfumo wa solar. Wastani Jua lipo umbali wa kilometa Milioni 150 hivi, lakini Mwanga wa jua husafiri kiasi cha dakika nane tu kuifikia sayari ya dunia.Inaelezwa kuwa,
Kulitazama jua bila vifaa maalum kwaweza kuathiri vibaya macho ya mwanadamu.
Na bila jua hakuna uwezekano kwa kiumbe yoyote mwenye mwili kuishi juu ya nchi.

Mkuu nilikuwa nahitaji kujua zaidi, Jua linasafiri kwa dakika nane kuifikia sayari ya dunia likiwa na speedy gani ya mwendo saa? Kabla halijafika kwenye ozone layer huwa linakuwa na nyuzi joto izo izo? Je kama zinapozwa ni kwa kiasi gani kinabaki na kiasi gani tunapata sie duniani?

Naomba kuwakilisha....
 
. The speed of light is a constant.
A whole lot of modern physics — and many discoveries —
stemmed from these ideas. Einstein figured out that the faster
an object moves, the more massive it becomes. That means
that, in theory, no object can ever reach 100 percent of the
speed of light because its mass would become infinite. This
relationship is expressed in the equation E=mc^2, where E is
energy, m is mass and c is the speed of light.
 
How "Fast" is the Speed of Light?
Light travels at a constant, finite speed of
186,000 mi/sec. A traveler, moving at the speed
of light, would circum-navigate the equator
approximately 7.5 times in one second. By
comparison, a traveler in a jet aircraft, moving at
a ground speed of 500 mph, would cross the
continental U.S. once in 4 hours.
 
Back
Top Bottom