Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Huenda ikawa tunawanga pamoja ndio maana unajua kama mimi ni mchawi na mganga vinginevyo huna akili na wewe ni mwenye kuropoka tu kama waropokaji wengine.
Pia nimekuuliza swali na jibu lako linatoka nje ya jibu ili uzalishe swali lingine.

Nyota iliyokuwa inachomoza kila siku asubuhi na kuzama jioni ni nyota ya nani? Yaani alikuwa nani na baada ya kuzaliwa ilipotea?
Waliokuwa wanazisoma hizo nyota walikuwa ni wakina nani?

Pia nyota ya nani ilifuatwa hadi bomani kwa nani ikamkuta kazaliwa?

Mbona nyie huwa ni mapunguwani sana hamjielewi kwa yale mnayoongea?

Rakims
 
Mkuu mnatuchanganya asee

Ni ipi njia sahihi ya kuijua nyota yako je ni kwa kuangalia tarehe yako ya kuzaliwa au hiyo ya mahesabu ya jina lako na la mama yako

Ni ipi ya uhakika kabisa
Nyota ya uhakika inakuwa ni sun sign lakini haihukumu tabia na matendo yote ya mtu kuna nyota zinaamuru mambo yake mengine katika mpangilio wake ndio maana kuna milango 12 ya kila mtu na sayari zinazotoa muongozo wa mtu mzima huu ni mwanzo tu wa kujua nyota yako lakini ukiingia ndani utakutana na unajimu wako.

Rakims
 
Je, Kuna Faida gani zinapokutana nyota ya samaki na mbuzi kimapenzi???
Zaidi ya kupata baraka ya kazi kufunguka na biashara kuwa na bahati au mafanikio hakuna kingine.

Rakims
 
Wanajimu au wasoma nyota na Elimu ya nyota, wale mamajusi wa Mashariki ni wachawi wale.

Unajimu ni Elimu Kutoka Malaika waasi, kujua future ya mtu Mungu ametuagiza tufanye maombi na Si kutumia wasoma nyota.

Mungu aliumba yote na Hana mipaka, bt ametuzuia kutafuta majibu kupitia nyota.

Alipozaliwa Yesu, Ulimwengu wa Giza waliona Nyota yake. Ndo wanajimu wakaja kuifuatilia maana walishindwa kuidhibiti na kupata jibu kamili juu ya nani Hasa aliyezaliwa.

Narudia kusema Wasoma nyota na Wanajimu ni watu wa Shetani na Ulimwengu wa Giza.

Wana wa Mungu, ni MARUFUKU kutafuta hesabu ya Jina lako au kujua Elimu hiyo ya kipepo juu ya nyota.


Ameeeeen.
 
Elimu ya kipepo iliumbwa na nani na kwa misingi ipi na ipi sababu inayokufanya unaita elimu ya kishetani mbona kama hujielewi?
Na kina nani ni malaika walioasi?
Yaani wewe Mungu unaemuamini unaamini anaweza kuumba malaika kisha akawapa ruhusa ya kumuasi hali ya kuwa anajua vilivyomo vifuani mwao kabla hawajasema wala hawajatenda halafu wamuasi nae ametulia tu. Mungu wako na malaika wake nina shaka nao usije ukawa unaabudu sanamu ya shetani na kuita Mungu kisha wanaoabudu Mungu ukaona wanaabudu shetani maana katika historia.

Shetani baada ya kulaaniwa aliposhuka chini aliwadanganya wenzie kuwa yeye ni Mungu na wapo walioamini hili huenda mmoja wapo ni wewe kisha baada ya hapo wengine walimuasi yaani majini wenzie hapo ndio usanii wa kusema malaika walioasi ukaanzia sasa isije kuwa Mungu wako unaemzungumzia wewe ni yule shetani mwenye jicho moja katikati ya pembe tatu na mimi ninaemzungumzia ni yule ambaye
Mmoja na wa pekee yeye tu mwenye Ufalme wa mbingu na ardhi, ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa, ambaye hana mshirika nae, na wala hana mtetezi, ambaye hata vingeungana vya mbinguni na ardhini visingeweza kumzidi mamlaka yake na hata vingemuabudu visingempunguzia wala kumuongezea kitu.

Sasa kama imani zetu zipo tofauti bora wewe ubaki na imani yako na mimi nibaki na yangu maana mwisho wa simu tutarudi kwenye ubishani ule ule usioisha kila siku.

N.B
Kama vile wewe unavyoona mimi nimepotoka na wewe upo sahihi basi mimi pia mara 10 yako ndio naona hivyo hivyo wewe umepotoka na mimi nipo sahihi hivyo hapa tutapotezeana tu Muda kubishana so kama mada haikuhusu pita pembeni mdogo wangu usije kuongea usiyoyajua wenye elimu nayo wakakucheka

Rakims
 

Kwema mkuu??

7th-May(majira ya alfajiri)

Inasomekaje hapo mkuu, tafadhali!!
 
Shukrani kwa Elimu nzuri,swali langu kuna baadhi wanapozaliwa wanapewa majina lakin ikifika umri wa kwenda shule wanabadili majina ndo hayo wanayatumia pengine maisha yote na kuacha kabsa lile la utotoni.Je hiyo inaathiri vipi nyota kwa upande wa jina?
 
Jina ambalo mtu anaishi nalo kila siku ndio jina sahihi aliyokadiriwa kuwa nalo hivyo tunatumia jina maarufu zaidi
 
Hapo kwenye kiasi inatakiwa iweje, kwa mfano naweka elfu 10 naweka tu 10000 au 11111 nieleweshe hapo..

Namba yangu ya bahati ni 1, 3, 19
Kama ni 1 unaweza kuweka 100 au 1000 au 10000 vile vile kama 3 unaweza kuweka 300 au 3000 au 30000 kwenye 19 unaweza kuweka 1900 au 19000 na kuendelea.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…