Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

zaituni pamoja na misk ukizitumia pamoja huondoa mikosi biashara zinaenda vizuri je maneno haya ni kweli? na kama sio kweli njia ipi sahihi ya kufanya ili mambo yawe sawa?
 
Itategemea nyota inayosafishwa na hivyo vitu au mtumiaji mwenyewe

Rakims
 
mkuu hapo mwanzo nilifahamu kwamba mimi ni mashuke/virgo kwa kuzaliwa mwezi wa 9 tarehe 15 je kwa njia ya jina ambalo naaanza na E je imebadilika?..nimekuwa mpendwa wa thread zako siku zakaribuni vimenifungua sana shukrani
 
Kumbe mimi na Mizani yangu natakiwa ni date na punda, Pia kuna vitu nimeona kwangu ni sahihi kab8sa
 
Mkuu naomba nikuulize...je ikiwa mwanaume ananyota ya ng’e anaweza oa mwanamke wa nyota ya mapacha...au Punda?
 
mkuu hapo mwanzo nilifahamu kwamba mimi ni mashuke/virgo kwa kuzaliwa mwezi wa 9 tarehe 15 je kwa njia ya jina ambalo naaanza na E je imebadilika?..nimekuwa mpendwa wa thread zako siku zakaribuni vimenifungua sana shukrani
Hapana mkuu, haibadiliki kwa maana hizo herufi za mwanzo ni ukikuta haiendani basi unakuwa umebase kwenye nyota iliyochomoza

Rakims
 
Mkuu naomba nikuulize...je ikiwa mwanaume ananyota ya ng’e anaweza oa mwanamke wa nyota ya mapacha...au Punda?
Punda sawa kwa vile wanatembelea sayari moja, hiyo mapacha hapana

Rakims
 
Kwenye SAMAKI NAKUBALIANA NAWE KWA 80% KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…