OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,224
- 13,077
Kwanini yesu na sio Mungu??LAKINI NGUVU ZA KWELI ZIPO KWA YULE AOMBAE KWA JINA LA YESU KRISTO MAANA HUYO HAITAJI KUPIGANA
angalia kwenye avatar yake huyo ni ndugu yake Maghayo ashakula mpepe bila shaka, manake mada hata hakuitaji kuidadavua sana.Mkuu ume tuacha Kwa sisi tulio soma mkwajuni.
Uli paswa ueleze hiyo self esteem ni nini??, Sasa we Ume kimbilia sijui prison break, Mara damme.
Kutazama hiyo Simba Ina husiana vipi na self esteem!!
Hua najiona mimi ndo Gustavo Fring wa breaking bad🤣Je ulishawahi kutizama series ya prison break kisha ukaanza kujiona michael scholfield? Au umewahi kutizama movie yeyote baada ya hapo ukaanza kujiona RAMBO, JACK CHAN au VAN DAME? ile hali unayoipata kwa muda kitaalam inaitwa euphoria, na ndio inayo ongeza apetite ya kuishi, upendf na kujithamini (self esteem).
Hapa sijaelewaJe umewahi kusafiri umbali mrefu kwenda kutizama game ya simba/yanga? Timu hkashinda na ukaripuka kwa furaha na kujikuta unatamani kutizama game zinazofuata tena na tena? Basi hiyo hari inaitwa euphoria ndio inayo boost self esteem.
Wewe labda sio siasa na mpira wa kibongo😆🤔Kushabikia mpira, masumbwi, siasa, dini n.k husaidia kupandisha self esteem.
Wachungaji kivipi?wachungaji