Kabisa mkuu, ingekuwa poa sana kutumia majina ya mama zetu tunakuwa na uhakika kabisa
Na hili litasaidia kupunguza lalamiko la hoja za Mfumo Dume kwa mujibu wa wale kimtazamo wa Ki-Beijing!.
Inawezekana matatizo ya mfumo Dume yalianzia huku!
Ha ha ha hakukosa ndiyo maana katumia jina la Ally, au ulitaka atumie jina gani jaim? Hili katika Mawazo ya watu pole, ila usiogope Sana uchawi kuliko unavomtii Mungu, umenichekesha Sana, unajua baadhi ya watu ukiwasimulia habari za kutisha huwa wanaoogopa. Wengine hawawezi kulala peke yao siku hiyo, kwa wanawake Ni hatari tupu Kama yupo single, yupo tayari kulala Na mtu yeyote. Sasa sikiliza joto la asbuhi kesho E. FM usikie kisa cha mtaa, wanamtaa wanadai huko Kuna bibi kigagula, Kuna mtu kaingia kwake kudai pesa take mpaka Leo hajatoka, kwa wameshapika orobaini Na hitima. Mshukuru Mungu kuwa mpka Leo unaishi Dunia Ina vikwazo vingi, wachawi, majambazi, ajali za magari (bodaboda) ukimwi huko Tabora na kigoma kukwepana na nyoka hatari koboko.Ulikosa jina la kutolea mfano mpaka ukatumia ALLY? umeniudhi sana leo!!!!
Baada ya hapo Mchana huo utauona mfupi Sana, Kama ndiyo umempa makavu saa nne, utaiona Kama saa tisa.UKishamnote sura unakula jiwe alafu mchana unamtafuta kwa faragha na kumpa makavu na biti juu.
Ha ha ha ha haaa fix za Mzizi mkavu zinawachanganya!Bwana mzzizi mkavu utakuwepo?
Ndio wakigunduwa Wachawi umewaona watakupiga vita ufe ili usije kutowa siri zao ni kweli kabisa.Nami nina hamu ya kujua wanaonisumbua usiku kwa macho ili niwape makavu.Ila nasikia ukishawaona lazima wahakikishe unakufa maana wanaogopa utatoa siri zao ni kweli Mzizi Mkavu?
ww si wonderfulUlikosa jina la kutolea mfano mpaka ukatumia ALLY? umeniudhi sana leo!!!!