Ijue mitego 3 ya kichawi

Kwa sababu ni uhakika 100% kuwa yule ni mama yako mzazi
Ama kweli hili ni rejeo la masuala ya baba wakusingiziwa!
Anyway kwa hiyo na mama kama Jina la Baba yake ni yakusingiziwa hilo likoje?
 
Ama kweli hili ni rejeo la masuala ya baba wakusingiziwa!
Anyway kwa hiyo na mama kama Jina la Baba yake ni yakusingiziwa hilo likoje?

Kama umefuatilia vizuri hiyo mada amesema ni jina la mama na si jina la baba wa mama
 
Nimekupata nikiamini MziziMkavu alimaanisha hivyo.
Nadhani ni wakati safari ya kuanza kutafiti matumizi ya Majina ya Mama zetu badala ya za Baba maana yawezekana haya majina ya Baba zetu 50% zingine Feki.

Kabisa mkuu, ingekuwa poa sana kutumia majina ya mama zetu tunakuwa na uhakika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…