mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,077
- 2,269
Katika tafiti za hivi karibuni Taasisi ya mkuzuia na kupambana na ukimwi imeripoti kua mikoa ifuatayo inaongoza kwa vvu mikoa hiyo ni
1. Iringa 9.1%
2. Mbeya 9.0%
3. Shinyanga 7.4%
4.Ruvuma 7.4%
5.dar es salaaam 6.9%
Ambapo mikoa inayoongoza kwa kuwa na kiwango cha chini ni
.Dodoma 2.9%
.Tanga 2.4%
.Manyara 1.5%
.Pemba 0.3%
Katika utafiti huo asilimia 21 ya wanaume walikiri kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja huku ni asilimia 4 tu ya wanawake waliokiri kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja...!
Utafiti huo pia ulibainisha asilimia 7.5 ya waathirika ni kutokana na kuwa na wapenzi wengi
Hivyo chonde chonde tusipende kavu kavu ni hatari ....!