Ijue mikoa inayoongoza kwa ngono zembe

Ijue mikoa inayoongoza kwa ngono zembe

Huku Iringa ikishika bendera tatizo Iringa kuna ni???
 
He mi nlidhan ungewaambia wananchi wasiikurubie zina,kumbe unawashauri wavae gwanda
Hiyo elimu ya acha zinaa kwani ndo Leo watu wanaambiwa toka enzi za mababu...! Ndgu
 
Katika tafiti za hivi karibuni Taasisi ya mkuzuia na kupambana na ukimwi imeripoti kua mikoa ifuatayo inaongoza kwa vvu mikoa hiyo ni
1. Iringa 9.1%
2. Mbeya 9.0%
3. Shinyanga 7.4%
4.Ruvuma 7.4%
5.dar es salaaam 6.9%

Ambapo mikoa inayoongoza kwa kuwa na kiwango cha chini ni

.Dodoma 2.9%
.Tanga 2.4%
.Manyara 1.5%
.Pemba 0.3%

Katika utafiti huo asilimia 21 ya wanaume walikiri kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja huku ni asilimia 4 tu ya wanawake waliokiri kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja...!

Utafiti huo pia ulibainisha asilimia 7.5 ya waathirika ni kutokana na kuwa na wapenzi wengi

Hivyo chonde chonde tusipende kavu kavu ni hatari ....!
DAWA NI KUWA WAAMINIFU!! Na hasa kumuogopa Mungu
KISA CHA YUFUSU=

Mwanzo 39:9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?
 
Tafiti nzuri ingekuwa ni ya ki-wilaya,maana kimkoa inaficha takwimu za wilaya ambazo watu wanajua kwamba ngono zembe zipo juu
 
Weka ni taasissi gani na publication of those findings from peer reviewed journal na siyo mambo ya kutoka mitandao ambayo haiko credible in scientific research.
hizo takwinu za kuenea kwa HIV sio huo utumbo wako ulo andika
 
Tatizo la Mbeya na Iringa Njombe baridi kali sana sasa ukivaa kinga kutokana na baridi hakuna chochote unachokisikia
 
Mbona mnapingana na takwimu wakuu mnadhani ni kutunga au.....!
hizo takwimu sio za kutunga ila zime badilishwa jina kuitwa ngono zembe ila ni report ambayo tayar ilisha tokaga kitambo ikionesha kuenea kwa vvu kwa asilimia ktk mikoa sasa yeye kachukua takwimu zile zile kazibadili jina kesho utaskia hizohizo takwimu zina tumika kwa watu ambao waja tahiliwa
 
Hapo kwa Pemba hapana jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapemba wanapenda sana hii michezo
 
Back
Top Bottom