Ijue maana ya #HapaKaziTu

Ijue maana ya #HapaKaziTu

Mariswaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
201
Reaction score
2
Nini maana ya #HapaKaziTu ?

Ukisema HapaKaziTu kuna watu watakuuliza unasema hivo mbona hauna ajira? Kazi na ajira ni vitu viwili tofauti ingawa kwa kiasi Fulani vinaweza kufanana kwakuwa kila aliyeajiriwa anafanya kazi lakini si kila afanyae kazi ameajiriwa.

Dhana ya HapaKaziTu inaambatana na uwajibikaji kwenye kila jambo. Ili kuleta maendeleo ya kasi Watanzania tunapaswa kuwa na Rais mwenye uwezo MKUBWA wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma kwa moyo wote na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao. Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu.

China na Japan zilipata maendeleo makubwa walipoamua kufanya kazi kwa bidii kwenye kilimo, viwanda, uvuvi na hata kwenye utumishi wa umma.

Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili;

1. kiongozi mchapakazi atakayefanya kazi kubwa ya kupambana na MAFISADI wote nchi nzima

2. Raia wanaojituma kweli kweli

Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya #HapaKaziTu , kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini.

Hakuna asiyehitaji MABADILIKO, lakini mabadiliko ya kweli yatakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kukomesha UFISADI.

Tumchague Dr. John Magufuli tupate MABADILIKO ya kweli kwa kufanya kazi na kujituma

#HapaKaziTu
 
Nini maana ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTU][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL] ?[/URL]

Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao.
Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu

Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili

Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL] , kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini

[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL]
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Bidii kwa kila jambo inaweza kuwa tabu atasaidiwa na nan kuchagua, maana hata kasi ya bila mwelekeo inakuaga shughuli
 
Nini maana ya [URL="https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTU"][URL="https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu"]#HapaKaziTu [/URL]?[/URL]
Ukisema HapaKaziTu kuna watu watakuuliza unasema hivo mbona hauna ajira? Kazi na ajira ni vitu viwili tofauti ingawa kwa kiasi Fulani vinaweza kufanana kwakuwa kila aliyeajiriwa anafanya kazi lakini si kila afanyae kazi ameajiriwa.
Dhana ya HapaKaziTu inaambatana na uwajibikaji kwenye kila jambo. Ili kuleta maendeleo ya kasi Watanzania tunapaswa kuwa na Rais mwenye uwezo MKUBWA wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma kwa moyo wote na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao.
Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu
China na Japan zilipata maendeleo makubwa walipoamua kufanya kazi kwa bidii kwenye kilimo, viwanda, uvuvi na hata kwenye utumishi wa umma.
Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili
1. kiongozi mchapakazi atakayefanya kazi kubwa ya kupambana na MAFISADI wote nchi nzima
2. Raia wanaojituma kweli kweli
Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya [URL="https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu"]#HapaKaziTu [/URL], kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini
Hakuna asiyehitaji MABADILIKO, lakini mabadiliko ya kweli yatakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kukomesha UFISADI.
Tumchague Dr. John Magufuli tupate MABADILIKO ya kweli kwa kufanya kazi na kujituma
[URL="https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu"]#HapaKaziTu [/URL]

Kwa dhana ya hapa kazi tu tutegemea polisi kuwaumiza wananchi,uwizi ndani ya serikali kuongezeka mara dufu,sheria hazitafuatwa,ukahaba na ushoga utaongezeka,nchi kujiendesha bila kuwa na dira,majambazi kuongezeka mara dufu maana yote hayo ni hapa kazi tu
 
Endelea na hapa kazi tu yako hiyo na elimu bora huna tuone utafikia wapi, nguvu nyingi akili hola,
 
Nini maana ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTU][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL] ?[/URL]
Ukisema HapaKaziTu kuna watu watakuuliza unasema hivo mbona hauna ajira? Kazi na ajira ni vitu viwili tofauti ingawa kwa kiasi Fulani vinaweza kufanana kwakuwa kila aliyeajiriwa anafanya kazi lakini si kila afanyae kazi ameajiriwa.
Dhana ya HapaKaziTu inaambatana na uwajibikaji kwenye kila jambo. Ili kuleta maendeleo ya kasi Watanzania tunapaswa kuwa na Rais mwenye uwezo MKUBWA wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma kwa moyo wote na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao.
Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu
China na Japan zilipata maendeleo makubwa walipoamua kufanya kazi kwa bidii kwenye kilimo, viwanda, uvuvi na hata kwenye utumishi wa umma.
Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili
1. kiongozi mchapakazi atakayefanya kazi kubwa ya kupambana na MAFISADI wote nchi nzima
2. Raia wanaojituma kweli kweli
Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL] , kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini
Hakuna asiyehitaji MABADILIKO, lakini mabadiliko ya kweli yatakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kukomesha UFISADI.
Tumchague Dr. John Magufuli tupate MABADILIKO ya kweli kwa kufanya kazi na kujituma
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu]#HapaKaziTu [/URL]
 
Endelea na hapa kazi tu yako hiyo na elimu bora huna tuone utafikia wapi, nguvu nyingi akili hola
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri tumemwelewa tutamchagua..#umoja ni ushindi
 
Hapa kazi tu ni slogan ya kijinga kabisa tena wanaoikubali ni wajinga.Vijana hawana ajira,elimu mbovu,afya ipo hoi .......Bado unakubali kauli mbiu za kijinga.
 
Nini maana ya #HapaKaziTu ?

Ukisema HapaKaziTu kuna watu watakuuliza unasema hivo mbona hauna ajira? Kazi na ajira ni vitu viwili tofauti ingawa kwa kiasi Fulani vinaweza kufanana kwakuwa kila aliyeajiriwa anafanya kazi lakini si kila afanyae kazi ameajiriwa.

Dhana ya HapaKaziTu inaambatana na uwajibikaji kwenye kila jambo. Ili kuleta maendeleo ya kasi Watanzania tunapaswa kuwa na Rais mwenye uwezo MKUBWA wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma kwa moyo wote na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao. Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu.

China na Japan zilipata maendeleo makubwa walipoamua kufanya kazi kwa bidii kwenye kilimo, viwanda, uvuvi na hata kwenye utumishi wa umma.

Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili;

1. kiongozi mchapakazi atakayefanya kazi kubwa ya kupambana na MAFISADI wote nchi nzima

2. Raia wanaojituma kweli kweli

Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya #HapaKaziTu , kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini.

Hakuna asiyehitaji MABADILIKO, lakini mabadiliko ya kweli yatakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kukomesha UFISADI.

Tumchague Dr. John Magufuli tupate MABADILIKO ya kweli kwa kufanya kazi na kujituma

#HapaKaziTu

Mtajitahidi sana kutoa maelezo lakini mwisho wa siku, mgombea wa fisisiem atapigwa chini.
 
Kwa dhana ya hapa kazi tu tutegemea polisi kuwaumiza wananchi,uwizi ndani ya serikali kuongezeka mara dufu,sheria hazitafuatwa,ukahaba na ushoga utaongezeka,nchi kujiendesha bila kuwa na dira,majambazi kuongezeka mara dufu maana yote hayo ni hapa kazi tu

Maadili kwako ni sifuri kabisaaaaaaaaaaa! Ungekuwa na busara hata kama punje ya haradali usingeweza kusema maneno haya"sheria hazitafuatwa,ukahaba na ushoga utaongezeka,nchi kujiendesha bila kuwa na dira,majambazi kuongezeka mara dufu".

Kwanza jua kuwa kazi ni lazima iwe halali kiseria, Je? hayo uliyoyataja ni halali kisheria wewe unayejiita ndg maonomakuu?

Kumbuka wajibu wako na utekeleze kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na uaminifu wako wote na wazazi na ndg zako wajue hiyo kazi unayoifanya kama ni halali kisheria kwa kuzingatia maadili ya Kitanzania. Usiwe mkurupukaji mueleze pia hata mkeo au mumeo kazi unayoifanya.
 
Hapa kazi tu ni slogan ya kijinga kabisa tena wanaoikubali ni wajinga.Vijana hawana ajira,elimu mbovu,afya ipo hoi .......Bado unakubali kauli mbiu za kijinga.

Uvivu na ujinga ndio adui wa masikini, kama wewe unaposikia Hapakazitu unaona ujinga,unataka hapa kula kulala? Hakuna maisha hayo. kazi kwanza
 
ukisema hapa kazi tu masaa ya usiku aidha wewe ni mwizi, mwanga au mzin.zi so kuwa makini na hiyo slogan
 
Uvivu na ujinga ndio adui wa masikini, kama wewe unaposikia Hapakazitu unaona ujinga,unataka hapa kula kulala? Hakuna maisha hayo. kazi kwanza
Uvivu na ujinga hautolewi na hapa kazi tu bali elimu elimu elimu futa tongotongo kwa macho yako
 
Kamwe huwezi kuanza na kazi bilakuwa na 1:MABADILIKO ya kimfumo ndipo linapokuja tena swala la 2:MKAKATI wa kuwaarange viongozi kweny system ndipo 3:KAZI inaonekana sasa.
Hapo ndipo unapoona mabadiliko ya kimfumo yanahitajika kwanza then mikakati mathubuti alafu ndio tatu unakujapata kuwa baada ya hayo mawili juu ndipo urahisi wa kazi unakuwepo kama si kuwa rahisi kabisa. Mabadiliko hayahepukiki.
 
Wewe mwenye akili na mwenye elimu ndogo wote mpoJF mnajibishana Hoja
watanzania ni wamoja sasa unataka nimtenge huyo mwenye elimu ndogo? cha msingi tutofautishe kwa hoja zetu utajua na wewe pia tutakupa elimu bora na bure usijali
 
Nini maana ya #HapaKaziTu ?

Ukisema HapaKaziTu kuna watu watakuuliza unasema hivo mbona hauna ajira? Kazi na ajira ni vitu viwili tofauti ingawa kwa kiasi Fulani vinaweza kufanana kwakuwa kila aliyeajiriwa anafanya kazi lakini si kila afanyae kazi ameajiriwa.

Dhana ya HapaKaziTu inaambatana na uwajibikaji kwenye kila jambo. Ili kuleta maendeleo ya kasi Watanzania tunapaswa kuwa na Rais mwenye uwezo MKUBWA wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma kwa moyo wote na uzalendo wa hali ya juu.

Wananchi nao wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kwa kuiga mfano wa kiongozi wao. Tunaposema kazi tunakusudia kazi yoyote aifanyayo mtu kama kulima, kujenga, kuongoza watu n.k na wala siyo kuajiriwa tu.

China na Japan zilipata maendeleo makubwa walipoamua kufanya kazi kwa bidii kwenye kilimo, viwanda, uvuvi na hata kwenye utumishi wa umma.

Ili tupate MABADILIKO ya kweli tunahitaji vitu viwili;

1. kiongozi mchapakazi atakayefanya kazi kubwa ya kupambana na MAFISADI wote nchi nzima

2. Raia wanaojituma kweli kweli

Hii ndiyo maana ya kaulimbiu ya #HapaKaziTu , kila mtu atafanya kazi kwa bidii popote alipo kuanzia wanafunzi shuleni, waliojiajiri kwenye miradi yao hadi watumishi wa umma ofisini.

Hakuna asiyehitaji MABADILIKO, lakini mabadiliko ya kweli yatakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kukomesha UFISADI.

Tumchague Dr. John Magufuli tupate MABADILIKO ya kweli kwa kufanya kazi na kujituma

#HapaKaziTu

AHADI MLIZOAHIDI MMEZITEKELEZA???
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora (HAJATEKELEZA)
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini (HAJATEKELEZA)
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria- Igunga (HAJATEKELEZA)
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga (
HAJATEKELEZA)
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
(HAJATEKELEZA)
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
(HAJATEKELEZA)
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma (HAJATEKELEZA)
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera (HAJATEKELEZA)
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi- Kagera (HAJATEKELEZA)
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba- Bukoba Mjini (HAJATEKELEZA)
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini (HAJATEKELEZA)
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
(HAJATEKELEZA)
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
(HAJATEKELEZA)
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu- Kagera
(HAINA MENO KABISA NA IMEJAA RUSHWA)
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya (MAUAJI YANAENDELEA)
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba- Kagera (HAJATEKELEZA NA ZILIZOPO MBOVU HAZIFAI)
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali (HAJATEKELEZA)
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika- Mwanza (HAJATEKELEZA NAVYAMA VILIVYOPO VINA HALI MBAYA NA VINGI VIMEKUFA KABISA)
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
(HAJATEKELEZA)
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita (
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote- Pemba
(KERO HAZIJATATULIWA)
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
(HAJATEKELEZA)
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa- Mbeya mjini
(HAJATEKELEZA)
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa (HAJATEKELEZA)
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea (HAJATEKELEZA NA WALIMU WAMEPUUZWA WANAULIZA -SHEMEJI UNATUACHAJE?)
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya (HAJATEKELEZA)
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
(HAJATEKELEZA)
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
(HAJATEKELEZA)
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
(HAJATEKELEZA)
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
(HAJATEKELEZA)
31. Kuboresha barabara za Igunga -
Tabora (HAJATEKELEZA)
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu (AMETEKELEZA)
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini (HAJATEKELEZA)
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)- Hydom Manyara (HAJATEKELEZA)
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa-Musoma (HAJATEKELEZA CCM NDIO CHANZO CHA CHOKOCHOKO)
36. Kulinda haki za walemavu- Makete (HAJATEKELEZA,WANATUMIKA KWENYE KAMPENI TU)
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini (HAJATEKELEZA)
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha (HAJATEKELEZA)
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini (HAJATEKELEZA)
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni- Kigoma– Kaliua,Tabora (HAJATEKELEZA)
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi- Arusha Mjini
(ANGALAU JAPO KIWANGO HAKIRIDHISHI)
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
(HAJATEKELEZA)
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido
(HAJATEKELEZA)
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
(HAJATEKELEZA)
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu 2010 mkoani Arusha – Arusha mjini
(HAJATEKELEZA NCHI IPO GIZANI KWA MGAO AMBAO HAUJATANGAZWA)
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo- Busekera, Wilaya ya Musoma, .
(HAJATEKELEZA)
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido (HAJATEKELEZA)
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti – Ngorongoro (HAJATEKELEZA)
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
(HAJATEKELEZA)
50. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini (HAJATEKELEZA)
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
(HAJATEKELEZA NA HALI NI MBAYA SANA)
52. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
53. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania- Iringa
(HAJATEKELEZA)
54. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda (HAJATEKELEZA - CHOKOCHOKO ZA CCM ZINAHATARISHA AMANI)
55. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara (HAJATEKELEZA)
56. Kuwapa wanawake nafasi zaidi- Kilolo ,Iringa (ANGALAU)
57. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
(HAJATEKELEZA)
58. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa- Kabandamaiti mjini Zanzibar (HAJATEKELEZA)
59. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti (HAJATEKELEZA)
60. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
61. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
62. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
(MISAADA YA VYANDARUA NA VYOO KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI)
62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam (HAJATEKELEZA)
63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara (HAJATEKELEZA)
64. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
(HAJATEKELEZA)
65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa- Kibaha. (HAJATEKELEZA)
66.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -
Kibaha (HAJATEKELEZA) N.K
CCM HAIAMINIKI TENA,WAKATI UMEFIKA CCM INAPASWA ITOLEWE KWA NJIA YA KURA MADARAKANI?..KWA NINI WASITEKELEZE AHADI HIZI KABLA YA KUAHIDI ZINGINE?.
...CHAGUA LOWASSA..CHAGUA UKAWA (CHADEMA/CUF/NLD/NCCR MAGEUZI)
 
Back
Top Bottom