Ijue Liberia

Mi nataka nione video jinsi alivyouliwa maana hizi zingine naona maojiano tu
 
Ndio naitaka hiyo video mkuu nione jinsi mtu anavyokufa[emoji35] [emoji35]
uwe na bando la kutosha maana utaona akisagika kuanzia nywele hadi kucha za miguu ........nenda kajiunge na bando la chuo kwanza halafu uje utaikuta nimeibandika tayari
 
uwe na bando la kutosha maana utaona akisagika kuanzia nywele hadi kucha za miguu ........nenda kajiunge na bando la chuo kwanza halafu uje utaikuta nimeibandika tayari
Nina bando la kutosha shusha vitu
 
Uhalisia wetu
Kutoka hapa kwenye heshima kuu na ulinzi uliotukuka

mpaka kuja kuishia hapa. Kifo cha mateso dhihaka na aibu kubwa huku watesi wako wengine ni watu waliokuwa karibu yako ukila na kunywa nao na pengine ukawasaidia kwa mengi

Kikulacho ki nguoni mwako..ogopa sana anayekuchekea usoni kuna anakulamba kisogo

Samuel Doe kifo chako kina funzo kubwa kwa watawala wa Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…