Ila mkuu haka ka ramani kako ka chumba kimoja ghorofa ni ka hovyo Sana. Kama mnara wa tank la maji.Naam!,ijue kwanza nyumba yako kabla haujaijenga!
Ukiijua vizuri nyumba yako kabla haujaijenga utapigwa sana na utamaliza hiyo nyumba umechoka sana!
Hapa kupigwa kupo kwa namna nyingi ama ununulishwe vitu vingi zaidi ambavyo vitabaki bila kuwa na matumizi mengine ama kununulishwa vitu sawa lkn nyumba ikatengenezwa chini ya kiwango na material kuuzwa sehemu nyingine!
Wakuu hakuna raha isiyo na kifani kama kusimamia nyumba yako kama Engineer na sio kama mmiliki [emoji851]
N:B leo langu la kujenga min ghorofa lipo pale nimejaribu pia kuwasiliana na mafundi kadhaa ila nimegundua vichwani ni weupe kama uwele!
Ulitegemea akili zao binafsi utatumia gharama kubwa sana zisizokuwa na manufaa!bora ujifunze na kufanya utafiti muda mrefu itakusaidia sana kuokoa gharama
Ila mkuu haka ka ramani kako ka chumba kimoja ghorofa ni ka hovyo Sana. Kama mnara wa tank la maji. View attachment 2428022
Iko poa...ipambanie
Tumekuelewa kwa Tafsida uliyotumia.Naam!,ijue kwanza nyumba yako kabla haujaijenga!
Ukiijua vizuri nyumba yako kabla haujaijenga utapigwa sana na utamaliza hiyo nyumba umechoka sana!
Hapa kupigwa kupo kwa namna nyingi ama ununulishwe vitu vingi zaidi ambavyo vitabaki bila kuwa na matumizi mengine ama kununulishwa vitu sawa lkn nyumba ikatengenezwa chini ya kiwango na material kuuzwa sehemu nyingine!
Wakuu hakuna raha isiyo na kifani kama kusimamia nyumba yako kama Engineer na sio kama mmiliki [emoji851]
N:B leo langu la kujenga min ghorofa lipo pale nimejaribu pia kuwasiliana na mafundi kadhaa ila nimegundua vichwani ni weupe kama uwele!
Ulitegemea akili zao binafsi utatumia gharama kubwa sana zisizokuwa na manufaa!bora ujifunze na kufanya utafiti muda mrefu itakusaidia sana kuokoa gharama
Wakati mimi na fundi tunaiangalia ramani mimi nikawa na penseli yangu naleta manjonjo ya kuedit ile ramani kuongezea na kupunguza baadhi ya sehemu.
Fundi akaniambia unapoongeza na kupunguza ujue kuna paa juu na paa lazima liendane na ramani ya nyumba ukiongeza na kupunguza vipimo bila mahesabu paa litakushinda kupaua au litapauliwa bila kuwa na mvuto
Kuanzia siku hiyo nikasema nitaheshimu taaluma ya mtu
Kwa hiyo mleta uzi bwana Mnyiramba usiwadharau wenye taaluma zao unachokitafuta utakipata
Duh.. Hizi zilitudanganya sana Kinondoni [emoji23]Duniani tunapita kwanini tujenge njiani
NENO DHARAU NI KWELI HAUJAANDIKA ILA ANGALIA MANENO YAKO YANA UKAKASI KUWAHUSU MAFUNDIUtakuwa haujasoma vizuri mada mkuu [emoji851]sijaandika popote neno dharau!,ila nilichomaanisha zakuambiwa changanya na zako!sio unabaki ndio fundi!,ndio fundi maiko