Tofauti ya uncircumcised na govilised ni ipi mkuu?wazungu wko sahihi waliikuta Africa ikiwa ni barbaric, uncircumcised, uncivilisd, govilised,pimitive. hiko ni kitu sasa



MBWEMBWE hizo ili wasioelewa kikoloni basi waelewe kupitia cha kunyumba,
angalia usije kupewa ya mtoto mchanga na ikakutosha,kesho yake tu ukageuza na lidreamliner la mapema😂😂😂😂😂Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!