Ijue JamiiForums na Historia yake

Kwann hamuitangazi kwenye radios na tv ili ijulikane zaidi maana huku kitaa watu hawaijui kabisa
 
Hongereni kwa wazo bunifu ambalo licha ya kasi yenu kufififshwa na sheria zilizotungwa kupunguza kasi yenu bado mmendelea kuwa sehemu sahihi kwa watu kutapika nyongo zao
 
Hivi jamiiforums unawezaje kumfollow mtu sijaonaga hiyo option
 
Nimejikuta nashindwa kuamini kabisa kwamba wewe ni mgeni rasmi JF umejiunga jana 18 October 2017. Vinginevyo uliutumia muda wako vizuri kufuatilia kwa umakini mijadala, hoja na mambo mbalimbali kabla ya kujiunga rasmi. Na una uwezo wa kujenga hoja.

Usihofu, mie ni mtu nnaejulikana mkuu!!!
Yeah hili linawezekana, kuna watu ni watembeleaji wa miaka mingi wa jf ila wamejiunga juzi tu

Mfano mimi nimeanza kufuatilia jf karibu miaka nane iliyopita ila nimejiunga juzi tu napo ni kwa kukosa ufahamu tu, nilikuwa natamani kujiunga kitambo lakini sikuwa nafahamu namna ya kujiunga na pengine kuna watu walikuwa wakisema kutumia jf kuna mchango wa 30,000/= kila mwezi

Hicho kiliniogopesha
 
Kuna mtu namfananisha na huu mwandiko, pia hili jina lipo kwenye moja ya stori zake. Hata unavyojibu hoja za wadau mmmhh utakuwa wewe bana
 
Back
Top Bottom