Ijue historia ya Vladimir Ilyich Lenin, mwasisi na baba wa Taifa wa dola la USSR

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
348
847
IJUE HISTORIA YA "Vladimir Ilyich Lenin" MWASISI NA BABA WA TAIFA WA DOLA LA USSR.

•Makala hii ni sehemu ya maombi ya wadau wa Facebook.
First Edition.

NA Comred Mbwana Allyamtu
kwa ushilikiano na Vasily Stalin
9/4/2016

Vladimir Lenin ni nani?
Ni mwanamarxist aliyejifunza ujamaa kupitia makala na magezeti au vitabu mbalimbali toka kwa Karl Marx,Friedrich Engel na baadhi ya wana Marxist toka urusi kama Nadya ambaye alikua mwalim wake.

Vladimir Lenin jina halisi anaitwa Vladimir ilyich ulyanov(SK) ambaye alizaliwa mwaka 1870 huko Simbirsk urusi ni mtoto wa tat katika familia ya watu sita familia yao ni ya Tabaka la kati (middle class) wazaz wake Lenin ni wasom ambao walikua wafanyakaz ndani ya wilaya yao alipozaliwa Lenin Simbirsk. Mama ake akiwa mtaalam wa lugha Tatu kijerman kiyahudi na kirusi.

Elimu kwa *Lenin*

Alisoma sheria katika chuo cha Kazan ambapo alianza masomo mwaka 1889-92 kilimchokuta alihamasisha watu au wanafunzi wapge mgomo juu ya utawala wa Tsarist (emperor) aliyejulikana Alexander wa 3 mwishowe Lenin alifukuzwa chuo na kuamua kuwa mwanaharakati baada ya hapo mwaka 1990 mama ake Lenin alienda kuongea na utawala wa chuo mwanae afanye mtihan wa nje alipewa nafasi na aliongoza mtihan huo mwishowe alipomaliza alienda kufanya kaz za uanasheria kwao Simbirsk.

*Mwanzo wa Uanaharakati*

Kabla ya kufariki baba yake Lenin alikua bado si mwanaharakati wa Marxists lakn Mara baada ya kufariki baba yake mwaka 1886 Lenin alipata pigo la kwanza ambalo lilimbadilisha maisha na kuanza kuwa mwanaharakati mwaka 1887 kakae maarufu kama Sasha (Alexander Ulyanov) alikamatwa na spy wa tsar kwa kuandaa mipango ya siri kumuua kiongozi huyo na wanafunzi wenzake wa st.Petersburg university mwishowe walikamatwa na Alexander akanyongwa may 1887 hapo ndio ulikua mwanzo wa Lenin kuanza kuingia katika ukombozi wa watu dhidi ya utawala wa tsar Alexander 3.

Kuanzia mwaka 1889 Lenin amekua akiishi uhamishon baadhi ya maeneo hadi 1917 lakn huku akifanya harakati zake kwa kurudi urusi kwa siri.

"Mwaka *1889* Lenin alijiita yeye ni Marxist yani mwana ujamaa"
Chama cha kwanza kuanza nacho ni RSDLP (Russian socialist Democratic labour part) ambapo mwishowe Lenin aliunda chama Bolsheviks 1900 kutokana na mgawanyiko wa chama cha kwanza ambapo yalitoke makundi mawili Bolshevik na Menshevik maana ya vyama hivi vyote vilihusu ujamaa laknbwalikua na utofauti wao Menshevik walijiita kama chama cha wachache wakat Lenin akiita chama cha wote.

Utawala wa Tsar Nicholas ll

Baada ya kudondoshwa utawala wa Alexander wa lll mwaka 1894 Nicholas ll alichukua nafasi hiyo na Alexander wa lll alinyongwa mwaka huo .Lenin wakati huo kutokana na kuhamasisha watu wa riot mwaka 1898 na kuendele Lenin alipelkwa uhamishon Siberian mashariki mwa Moscow urusi mwishowe alifukuzwa urusi na kuamua kuishi nch kadhaa kama ujerman ufaransa na mwishowe uswis au Switzerland katika mda huo alipokua uhamishon Siberia alikutana na Leon Trotsky na Joseph Stalin (1879-1953).
Lakn akiwa uhamishon alitoa nakala za magazeti ambazo alikua anawapa watu wa urusi wasome hasa Petrograd pia alisoma vitab vya Marx na Engel pia alikutana na mwanae Marx ufaransa.

Mapinduzi ya kwanza 1905 (first revolution 1905)

Mwaka huru watu wa urusi maeneo ya st.Petersburg waliandamana katika kasri la emperor Nicholas wa 2 lakn yeye hakuapo ambapo aliiagiza vikos vyake wafyatue risas na kuwapga ambapo hujulikana kama blood Sunday yan maandamano haya yalitoke jpl ya jion inakadiriwa watu zaid ya laki waliuwa siku hiyo japo mapnduzi hayakutokea lakn kitu kilchofanya maandamano haya ni urusi kupgwa na wajapan wakigombania jimbo la Manchuria na visiwa kadhaa vya Pacific na Lenin alikua amerudi toka uhamishon na kuendelea na harakati sake mwaka 1912 chama cha Bolshevik kiliamua kusimama peke yake.

Mapinduzi ya pili 1917 (second revolution 1917)

Wakati vita ikiendelea ya kwanza ya dunia Lenin akitoke Switzerland alipta ujerman na kuingia urusi akisaidiwa na vikosi vyao German kuingia Petrograd lakn alikoswa kuuwawa Mara mbili baada ya Menshevik kumtumia watu wamuue lakn wakashndwa mapinduzi yakatokea October 1917 na sekali ikawa chini yake ikaitwa RSFSR (Russian Soviet federation socialist Republic) wakati huo vikaibka vita vya wenyew (civil war ) 1917-22 ambapo kulikua na kikundi cha Menshevik kilichounda white army kwa nia ya kumpindua Lenin lakn wao walihamasisha jeshi lao la red army na kuwashnda white army 1922 ndipo walipounda USSR (Union of Soviet socialist Republic) Mwaka huo Lenin alisumbuliwa na ugonjwa wa kupalize na kuanza kushindwa kuaongoza nchi hadi alipofariki mwaka 1924 na kuzikwa huko Moscow kwenye uwanja wa red square.......

Kwa muendelezo wa yale ambayo ayaja elezwa hapa yataendelea second edition........
Vasily stalin
Live in your side don't look anybody what's they do
78f075ae51531f63e1bea5817482b409.jpg
 
Back
Top Bottom