Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Hahahaha Asante sana kwa kweli!
Naandaa somo hapa, Juu ya 'Amun' Nadhani katika huyu ndipo tutakapoanza kujua maana ya Dini na asili yake.
b51e193e461f21b6325ae3a2ce289016.jpg

Wish jioni tutachangia mawazo pamoja juu ya hili.
 
Hebu niambie kwanza umepigaje huo mwili picha wakati wanakataza mno?kidding
 
Kwa mara nyingine nawakaribisheni.
Niwashukuru wote ambao wamekuwa
wakifuatilia uzi huu na kutoa maoni, rafiki zangu kwa Imani kama queen wangu Isis na wengineo, Nampa pole pia kupigwa ban hapa juzi.
Nawashukuru pia wakosoaji.

Karibuni.


Ukweli ni mchungu kama ladha ya Gongo!, So
Tunapaswa kuuvumilia na kuupokea maana ukweli huwa na nguvu na ndio uletao amani kuu na ya kweli, ingawa huuma rohoni na akilini.

Ilitokea kipindi nchi nyingi zilipata Uhuru kutoka
kwa mataifa yaliyokuwa na nguvu kuwazidi, tunaita "kipindi cha ukoloni" Hivyo watu wazalendo kutoka nchi husika walipigania wengine kwa kumwaga damu wengine kwa kuuomba na hata kudhalilika na wote wakaupata. Hii ilikuwa ni sababu waliona wanaingiliwa katika mambo ambayo walikuwa wako huru kuyafanya wao wenyewe. Suala la kushukuru ni kuwa hadi sasa hakuna nchi ambayo bado haijajitangazia Uhuru.
Kwa nini nasema hivyo?
Ukweli mpaka sasa ni kuwa Dunia Nzima bado haijapata uhuru kutoka huku koloni kubwa na lenye nguvu liitwalo Dini! Siku koloni hili litakapoondolewa ndipo Dunia itajitangazia Uhuru!

'Any way taratibu mtanielewa tuingie kwenye somo la leo.

Leo Tutakuwa na somo Kumuhusu Mungu wa kale wa Misri aliyeitwa Amun au Amen au Amon, Mmoja wa Miungu wakubwa zaidi Katika jamii ya wamisri wa kale hadi dini zote za sasa.
968px-Amun.svg.png


Mungu Amen alijulikana kama ""mfalme wa Miungu" Pia alihusishwa na nguvu kubwa isiyooneka na Upepo. NB Naombeni mkumbuke hapo pa Mfalme wa Miungu.

Pindi alipounganika na Mungu jua 'RA' waliunda
nguvu kubwa Isiyo na mfano, hivyo wakawa wanategemeana na ndiyo sababu muda fulani majina yao huunganishwa pamoja, na kuwa''Amun RA'' yaani Nguvu kubwa mbili.
RA_by_el_grimlock.jpg.cf.jpg

'RA'

Mbali na imani ya kale ya wamisri, hadi leo, Amen pamoja na RA wamezidi kukonga nyoyo za wanadamu katika Dini zote Ulimwenguni, kinachobadilishwa ni majina tu, ingawa wanaozungumziwa ni walewale yaani Amun na Ra.
Asilimia 90 ya sala katika dini zote za leo hapa
Ulimwenguni humtukuza 'RA' (Mungu Jua) na mwisho wa sala huwekwa Amen ili kukamilisha ile nguvu ya 'Amun RA'
Dini zote kama Ukristo, Uislam, Judism, Hindusm, Buddha, wote humuweka Amen
mwisho wa sala zao.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Amen ni mfalme wa Miungu, Hivyo Utashangaa baadhi ya Dini za sasa zinasema kuna Mungu mmoja halafu mwisho wa sala inamtajaa tena Amen/ Amin/ Amon/ Amun!!?.
Sababu kuu ni moja ni kwa sababu huyu ndiyo Mfalme waa Miungu yote!. Hivyo Mwanzo wa sala Huwa wanamuomba Mungu wanayemjua wao, Huku dini nyingi zana Zikimtaja 'Ra' sema kwa majina tofauti tofauti, Dini nyingine hutaja Miungu mingine tofauti na 'Ra' (Mungu Jua) ila Mwisho wa sala ni lazima atajwe Amen sababu yeye ndiye Mfalme wa Miungu yote!!
Jiulize kwanini Dini zote zinamja Amen Mwidho wa sala!?

Maana nyingine ya Amen ni nguvu isiyoonekana, Swali la kujiuliza je ni nguvu gani hizo?.

Wamisri walikuwa na Utaratibu wa kumfananisha kila Mungu na aina fulani ya Mnyama, huku Amen akifananishwa
na MBUZI, beberu mwenye pembe, Je unajua maana ya Mbuzi kiroho?

Endelea kunifuatilia....

Utaratibu wao wa kuwafananisha Miungu na wanyama ulikuwa Tangu Enzi za Mungu 'Anubis' (Mlindaji wa kifo)
Ambaye alifananishwa na Mbwa.
anubis-large.jpg.cf.jpg


Habari hizi za miungu ya Misri zilisambaa kote ulimwenguni hapo kale, kwa njia ya jicho la tatu na Kwa kupeana habari za kimwili, yaani uso kwa uso.

Tutarudi kwa Amen ngoja tuingie kwa rafiki yake 'RA'
Mbali na wamisri kuamini kuwa RA ni Mungu jua., Mababu wa kale wa Mexico nao waliamini kuwa Jua ni Mungu [HUITZILOPOCHTLI]
hao walikuwa na utaratibu wa Kumtolea Mungu jua sadaka ya zaidi ya watu elfu hamsini kwa mwaka,
Ambapo watu walichinjwa juu ya mnara maalum na vichwa vyao na damu kutiririka hadi Chini ya eneo la mnara.
aztec-sun-dial-146507-sw.jpg.cf.jpg



Pia Imani za kale za
waroma ziliamini kuwa jua ni Mungu (SOL)
2017-05-06-23-01-16-502057307.jpg


Ukiachana na hao
pia walikuwepo Wagiriki hawa ndio waliotunga majina ya siku huku wakiipa siku ya Saba jina la 'SUNDAY' 'SUN'DAY' yaani
siku ya Mungu jua [APPOLO/HELIOS]
apollo_8.jpg

APOLLO

Wahindi wakiwa na Mungu jua [Surya].

Mataifa yote hayo yalikuwa yanamtambua Mungu Jua ila yalikuwa yanayofautianaa kidogo katika kumuabudu na majina ila maana ilikuwa ni moja.
Mwanzo wa Mungu jua Ulianzia Misri hatimaye ukasambaa kila kona ya Dunia.

Tutaendelea...
Nakaribisha maoni.
Pia mwenye jipya ruksa kushare tuzidi kutoka usingizini.
Nawasilisha Secret star...
 
Kwani RED INDIANS WA NORTH AMERICA WAKO WAPI? na AUSTRALIA wale watu wa asili wako wapi? MZUNGU NENDA NAE KWA HEKIMA NA BUSARA PAMOJA NA UFAHAMU WA HALI YA JUU. ..
Mkuu siyo North pekee, pia South America wapo hadi leo.
Australia hao Aborigians wapo hadi leo pia.
Unaposema 'wako wapi' unamaanisha walifyekwa wakaisha, au unamaanisha nini?
 
Mkuu siyo North pekee, pia South America wapo hadi leo.
Australia hao Aborigians wapo hadi leo pia.
Unaposema 'wako wapi' unamaanisha walifyekwa wakaisha, au unamaanisha nini?
Soma swali, hilo ni Jibu, anyway tuendelee na AMUN RA,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom