Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

I got you!
Wow Malkia wangu, nimepata mapya hapa!, nakuandalia Kitu moja matata sana!. Naamini utashangaa! Tuombeane uzima wish kesho jioni nitaweza kushare nanyi tuweze kulitafakari hili nililoliwaza Queen.
 
Chambu tu na wewe! hahahaha
Mkuu historia huundwa na wanaoshinda! Ndio maana ukweli huwa haujulikana na ukijulikana lazima upingwe! Ndio maana ni Waarabu peke yao walifanya biashara ya watumwa pwani ya Afrika mashariki (ikiwa historia yetu ni tatizo ya mafarao tutaijuaje???) :D:D:D
 
Kujua tu, kama waarabu walituuza katika biashara ya utumwa, ni Historia au si History? 1/ Unataka kuniambia Historia ya Watumwa tunayoisoma leo kwenye Vitabu ililetwa na waarabu!?, kwa sababu wao ndio walishinda!? 2/ Unaweza kuniambia hapa jinsi waarabu wanavyoipinga hiyo historia leo?
 
Chimba uujue ukweli, Kwenye biashara kuna dalali, mwenye mali, mchuuzi na mnunuzi
 
Wadau nimefuatilia huu Uzi kwa makini sana kuna mambo mengi kweli yamefichwa kwa makusudi kabisa hili mtu mweusi aonekane mbaya muda wote sasa nimepata mwanga mkubwa kuhusu black people Secret star na ISIS hongereni sana kwa unyambufulifu wenu na Mimi na Google zaidi kujua haya mambo
 
Sese nywele zake siyo za kipilipili!
 
Secret star ISIS Tim choice asanteni sana kwa kunifungua akili kweli tangu asbh ya Leo nafanya utafiti wangu binafsi kujilidhisha na haya mnayotetea nikaja na suluhuhisho moja tu nalo ni kujua kiini original of black people
Niliyokutananayo yamenishangaza sana Atayebisha aingie hapa ataona yote realyhistoryww.com
Jamii ya kwanza kustarabika walikuwa ni Weusi
Hata binadamu wa kwanza ni mweusi
Kwa hiyo kama Jamii ya kwanza kustarabika walikuwa ni watu Weusi Nina imani hata maendeleo ya kwanza yalikuwa ya watu weusi
Lipo tatizo na tunatakiwa sisi Weusi tupigane kutoka hapo
 
Karibu best
 
Wow Malkia wangu, nimepata mapya hapa!, nakuandalia Kitu moja matata sana!. Naamini utashangaa! Tuombeane uzima wish kesho jioni nitaweza kushare nanyi tuweze kulitafakari hili nililoliwaza Queen.
Secret Star, nimerudi, nilikuwa kwenye ban flani hivi! Anyway, nasubiri kwa hamu hekima yako!
 
Na bila ya ukombozi wa kiutamaduni na kujitambua, maendeleo ya kiuchumi na kijamii Africa tusahau kabisa. Lazima tujikomboe, mapigano ya kifikra lazima yaimarishwe. Mi sijui hata hawa wa utamaduni wana majukumu yapi, eti utalii.

Chinese, Indians wote wamejitambua ndo kisa cha kusonga kwao. Utumwa wa ubongoni ni mbaya zaidi kuliko mwingine wote. Wazungu wanautumia kututawala kiuchumi, kiteknolojia,kisiasa na kijamii.

Sukuma legal system ni bora sana kwa Afrika na inakisi sana uafrika wetu kuliko common law legal system, hata sijui tunashindwaje. Afrika tunauushi utumwa saana.
Chinese and Indians wote ni watu wa taifa 1 la China na India respectively. Waafrica tuna mataifa mangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom