Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ukweli wa firauni.katika quran
a4f7e2e28508c1dc18e741ceef95e1a2.jpg
312f59496373d5d68e0540e8e98710be.jpg
 
Amini unavyo amini wewe! Mwenye Enzi Mungu anajua utukufu wa binadamu ni uhai na uzima aliyo nao! Sasa hao wanao chinjana na kuuwana kila iitwayo leo, it is totally sad! Mola aingilie Kati atufungue ufahamu wetu sisi binadamu kwa kweli!
We unaamini firauni wa enzi ya musa.ambaye maiti yake IPO mpaka Leo.alikuwa ni mungu wa misri?
 
Wewe usihangaike na maisha ya mtu mwingine na anacho kiamini! Kuwa na maisha yenye upendo na amani, kila kitu chako kita kunyokea wewe na nchi yako na familia yako! Ndiyo maana nimekwambia kula nyama mfupa tema! UPENDO NA AMANI NI MWENYE ENZI MUNGU! Utavuna unayo yapanda, hiyo ndiyo dini! You can't cheat CREATIONS! That's all!
 
Sawa karibu.
 
Amini unavyo amini wewe! Mwenye Enzi Mungu anajua utukufu wa binadamu ni uhai na uzima aliyo nao! Sasa hao wanao chinjana na kuuwana kila iitwayo leo, it is totally sad! Mola aingilie Kati atufungue ufahamu wetu sisi binadamu kwa kweli!
safi sana dada, Amani na Upendo ndiyo misingi mikuu zaidi kwenye Dini.
 
Mtoa mada kumbe unamuabudia firauni dah
Hapana Firauni ni mmoja wa watawala waliowahi kupita, hana tofauti na wewe na mimi! Na ndo maana vizazi vyao tunavyo mpaka leo! Mungu ni Mungu na hawezi kuwa mwanadamu mzee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom