Ijue Dira na Dhima mpya ya Jeshi la Polisi

Ijue Dira na Dhima mpya ya Jeshi la Polisi

Polisi mna kazi aisee.lini mtapongezwa?
 
Hayo waliyaacha CCP, sasa hivi wana mwongozo mpya wa "ua yeyote anayekosoa", itabidi kule chuo wabadilishe mitaala waweke na wanayofanya kwa sasa
Kipengele kama hicho hakiwezi kuingizwa katika mtaala wa kufundisha vijana huko CCP
 
Back
Top Bottom