flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
hahahaa mtoa post nae ni Jamii ya police
Au Polisi Jamii.
hahahaa mtoa post nae ni Jamii ya police
Nenda Dodoma kapeleke na huo ushahidi wako.Na Tundu kumpiga risasi za kwenye mabega na mikononi lengo lenu lilikuwa nini? Mlitaka asiweze kula ugali, au? Jeshi letu la polisi limekuwa la kishenzi kabisa. Badala ya kulinda raia na mali zao, linalinda watawala na madaraka yao.
Kila kazi ina changamoto zakeMleta mada kama wewe ni polisi inabidi uchukue michango ya wadau humu kama kipimo cha mahusiamo yenu na wananchi mnaojinasibu kuwalinda.
Inaonyesha dhahiri huduma yenu imebaki tu kuwa ya kisheria lakini haikubaliki kabisa kwa mnaojifanya kuwatumikia. Jeshi lenu kwa nyanja zote limekuwa ni la kuwanyanyasa wananchi. Trafiki ni balaa, hao wakulinda usalama ni shida RUSHWA imekuwa agenda kuu katika utendaji wenu.
Aibu...!!!
Kwani wewe uko nchi gani mkuu mpaka huyajui haya?Sio moja ya kazi za Polisi hizo
Unavyojibu inaonyesha wazi wewe ni polisi na hamko tayari kupewa mawazo mapya.Kila kazi ina changamoto zake
acha masihara huoni gwanda lile katka avatar yakeAu Polisi Jamii.
mission moja haipo apo ongezea
Mama Chacha andaa ugari na kuja na mbogha sasa ivi ...........njaa za kula rushwa ndogondogo kama Matonya
We ni Kova au Mambosasa?kuna mazingira raia anaweza kuuwawa hata kama hana silaha.mfano uko mikononi mwa polisi na ukaamua kuwatoroka chini ya ulinzi halali wa polisi unaweza kupigwa risasi ya mguu na risasi hiyo pia inaweza kukuua hata kama nia si kukuua bali ni kukufanya ushindwe kukimbia