Ijue ajira mpya Mjini

Ijue ajira mpya Mjini

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Vijana wengi hawajajua kuwa kuna fursa mpya ya ajira mjini ambayo ni marathon

sasa jijini Dar na mikoa mikubwa haiwezi kupita wiki bila kuwa na mbio za marathon sasa akijana ambaye huna ajira fanya mazoez ya kutosha ya kutosha

kila wiki ukienda kukimbia na ukawa hukosi kwa washindi unauhakika wa laki mbili na nusu ambapo kwa mwezi kutokana na iyo fursa unauhakika wa kuingiza kipato cha shilingi milion 1

vijana fursa hiyo itumieni vyema
 
Kazi ya kukimbia? Hapa cv yako lazima ioneshe unakimbia km ngapi kwa siku. Halafu mashindano yenyewe huna uhakika mwenzako amejiaandaaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom