Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake.

Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani.

Inaleta maudhi kuona baadhi ya Wachezaji wanaishia kukaa benchi Mechi kumi mfululizo, au hata msimu mzima.

Mchezaji asisajiliwe kusindikiza wengine, kama hana mchango kwenye timu basi auzwe au aachwe akatafute maisha kwingine.
 
Hakuna haja ya sheria
Yeye Mkataba wake ahakikishe kuna kipengele kinasema asipocheza mechi kadhaa kufanyike nini..
Atolewe mkopo kwingine.
 
First eleven ipo kokote kule.
Kama Messi ni mzima lazima acheze.
Wengine watacheza mechi za kawaida.
 
Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake.

Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani.

Inaleta maudhi kuona baadhi ya Wachezaji wanaishia kukaa benchi Mechi kumi mfululizo, au hata msimu mzima.

Mchezaji asisajiliwe kusindikiza wengine, kama hana mchango kwenye timu basi auzwe au aachwe akatafute maisha kwingine.

dah jaman hebu tuachen utan.. Mpira kazi kama
kazi ingine.. mtu asajiliwe awe analipwe mshahara asionyeshe kiwango bado team ilazimishwe kumchezesha.. wakipoteza mtawapa point za bure

sijui kwa nn mnafanyaga mpira kama
vile ni mambo ya kijamii au hisani...

ni sawa na ww tukuajiri tukupe
mshahara ila uwe na mahudhurio mabovu kazini na usionyeshe utendaji mzuri ila kampuni ilazimishwe kukupandisha cheo
 
Tukikuajiri na tukupe meza na kiti tu kwa miezi sita bila kufanya kazi yoyote, hapo ndio utajua hoja ya mtoa mada.
Kocha wa Simba wa sasa anahusika sana na udhalimu huu tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anawapa game time karibia wachezaje wote na matokeo yanapatikana.
 
Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chako lazima kitashuka.

If you engage a player and you don't utilise his services then it means he is surplus to your requirements, you're supposed to disengage him.
 
Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?
( Min-academies?) Atakayeperfom vizuri zoezi ndiye atakayecheza.
Na wachezaji tulikuwa tunaelewa kabisa mimi ni first option au wakuanzia benchi, au ni squad player tu.
Mfano unadhani Gadiel michael haelewi kuwa Zimbwe kamzidi uwezo?
 
Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chaki lazima kitashuka.

If you engage a player and you don't utilise his services then it means he is surplus to your requirements, you're supposed to disengage him.
Mazoezini huko inakuwaje?......
Lazima uwe na wachezaji wakutosha mazoezini ili drills ziende sawa.
Huwezi huwa na drills za wachezaji 15 tu.
 
Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chako lazima kitashuka.

If you engage a player and you don't utilise his services then it means he is surplus to your requirements, you're supposed to disengage him.

average player bado wanahitajika kwenye mpira maana mchezo huu unahitaj wachezaji wa aina hiyo wawepo ili kupeana chalange.. swala la kutotumika au kutumika au yeye mchezaji kuwa kwenye kikosi A au Kikosi B ama C ni juhudi zake..

wakat team inamsajili mchezaji inamaanisha ineona kitu kwake akiishia kuwa chagua lam3 sio kosa la team...team imeshaaajili wachezaji kwa kubalance nafasi maana yake kila nafasi iwe na wachezaj wawili ama wa 3 kwa ajili ya dharura.. swala la nani kuwa wa kwanza au wa mwisho kwenye pecking order ni swala la wachezaj wenyeww ukiwa wa mwisho kwenye pecking ordwe haimaanish tutakuacha.. ila utatumika kwenye michezo isio na umuhimu sana ili kulinda afya ya yule first choice

waswahili wana msemo wanasema kwa ni ni utumie shilingi mia kama hamsini inatosha.. so kama kuna mchezo sio muhimu sana unagongana ki ratiba na mchezo wenye umuhimu basi tutakutumia ww chagua la 3 kwenye mchezo usio na umuhimu and its a win win situation

kwanza utapata nafasi ya kutubadilisha mawazo.. ukiperfom maana yake, chanches are unaweza ukapanda ukawa wa kwanza au wa pili (sub) kwenye perking order.. pili wale first eleven watapumzika vya kutosha .. kama utaamua kubak average player you will remain a second or third choice..

hakuna kocha anaechagua wachezaj kwa majina ila kwa perfomance.. so kama mwaka mzima
hujapata nafasi ya kucheza ni mchezaj kujitafakari akiamin ana uwezo mkubwa aondoke otherwise ndo kama hivyo

jiulize hao wachezaj unaosema wanauliwa vipaji wangapi wameomba kuondoka wakazuiwa
 
dah jaman hebu tuachen utan.. Mpira kazi kama
kazi ingine.. mtu asajiliwe awe analipwe mshahara asionyeshe kiwango bado team ilazimishwe kumchezesha.. wakipoteza mtawapa point za bure

sijui kwa nn mnafanyaga mpira kama
vile ni mambo ya kijamii au hisani...

ni sawa na ww tukuajiri tukupe
mshahara ila uwe na mahudhurio mabovu kazini na usionyeshe utendaji mzuri ila kampuni ilazimishwe kukupandisha cheo
Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.

Na je, ni sahihi kumlipa Mtu asiyetumika?.

Ndio maana nimesema kuwe na walau muda maalumu ambapo timu inatakiwa iwe imeshajiridhisha kwamba Mchezaji fulani hawezi kuwa nasi basi wamuachie aondoke badala ya kuendelea kumng'ang'ania msimu mzima bila ya kucheza hata mechi moja.
 
Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?
( Min-academies?) Atakayeperfom vizuri zoezi ndiye atakayecheza.
Na wachezaji tulikuwa tunaelewa kabisa mimi ni first option au wakuanzia benchi, au ni squad player tu.
Mfano unadhani Gadiel michael haelewi kuwa Zimbwe kamzidi uwezo?
Tukitumia mfano huo huo wa Gadieli...Ni sawa, na hakuna anayebisha kuwa Tshabalala yuko vizuri kuliko Gadieli.

Lakini pia lazima tujiulize ni kwa nini wamemsajili Gadieli?.....nadhani jibu litakuwa ni ili awe back up wa Zimbwe...sasa kwa nini Gadieli akae tu benchi akisubiri Zimbwe aumie au apate tatizo?.

Sheria ziwabane Walimu au Timu husika ili Mchezaji kwenye mechi kumi za ushindani basi acheze hata walau dakika kumi tu badala ya kuwa msindikizaji kwa mechi zote hizo...Kocha hawezi kukosa mechi moja au mbili za kumpumzisha Zimbwe dakika za lala salama aingie huyo Gadieli.

Na hii hoja ya kusema Mchezaji anayeonesha uwezo 'mazoezini' ndiye atacheza mimi huwa sijawahi kuielwa hata siku moja....hili ni suala linalotegemea utashi wa Mwalimu kwa asilimia 80 kama sio 90.

Mara ngapi tumeona Mchezaji kutokea benchi akaenda kubadili matokeo?, na kutokea hapo ndio unaona Kocha anaanza kumuanzisha yeye mechi zinazofuata?....sasa hapo hiyo logic ya mazoezini ndio inakuwa imekufa ama?...kwamba huyu wa benchi sasa kaanza kuonesha bidii mazoezini?....huwa kiukweli kwangu haimake sense.
 
Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.

Na je, ni sahihi kumlipa Mtu asiyetumika?.

Ndio maana nimesema kuwe na walau muda maalumu ambapo timu inatakiwa iwe imshajiridhisha kwamba Mchezaji fulani hawezi kuwa nasi basi wamuachie aondoke badala ya kuendelea kumng'ang'ania msimu mzima bial ya kucheza hata mehi moja.
Aliyekwambia team inasajili wachezaji ila wote waje wacheze nani?
 
Unadhani mchezaji kutokea benchi na kwenda kubadili matokeo ni maamuzi yake?
Ni mbinu za kocha zimeona anahitajika......
Mpira ni taaluma, tubakie kushabikia tu.
Backup players ni lazima wawepo, hawakwepeki.
 
Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.

Na je, ni sahihi kumlipa Mtu asiyetumika?.

Ndio maana nimesema kuwe na walau muda maalumu ambapo timu inatakiwa iwe imshajiridhisha kwamba Mchezaji fulani hawezi kuwa nasi basi wamuachie aondoke badala ya kuendelea kumng'ang'ania msimu mzima bial ya kucheza hata mehi moja.

uko sahihi kwa yote uliosema.. ila sasa kama mchezaj amekaa misimu miwili mitatu hajatumika.. maana yake shida iko kwa mchezaji zaid kuliko team.. kama anajali kipaji chake angeomba kuondoka ama kutolewa kwa mkopo..

Rejea mifano ya Ajib au Kabwili, na wengine wa hivyo..wana mda gan kwenye team zao na hata mechi za bonanza kucheza mara chache lakini wanaonekana wanaenjoy maisha hawana presha sasa nani anaua kipaji hapo kama
sio wao wenyewe

utaona kuwa jukumu la kulinda kipaji kwanza ni mchezaji mwenyewe pili ni team.. kama mchezaji hataona umuhimu wa kulinda kipaji kwa kufanya jitihada aonekane na kocha au ikishindikana labda aombe kutolewa walau kwa mkopo kama sio kuachwa kabisa atafute pa kwenda basi team haitakuwa kwenye presha yoyote..

na kuhusu kujiridhisha kabla team haijasajili.. naamini team inaposajili maana yake imeona mchezaji ana kitu.. hakuna team itakayoamu kusajili sababu tu wajaze namba.. maana wanatoa pesa.. so kutofanya vizuri kwa mchezaji ni matokeo ya baadae ila wakat wa usajili kila mtu ana matumaini makubwa . club inamatumaini na mchezaji ana matumaini..

rejea mifano ya Nchimbi au yule charles wa Simba
wakat wanasajiliwa pande zote zinamatumaini na hata takwimu zinambeba mchezaj lakini mwisho wa msimu mambo ni tofauti
 
Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?
( Min-academies?) Atakayeperfom vizuri zoezi ndiye atakayecheza.
Na wachezaji tulikuwa tunaelewa kabisa mimi ni first option au wakuanzia benchi, au ni squad player tu.
Mfano unadhani Gadiel michael haelewi kuwa Zimbwe kamzidi uwezo?
Kuna tatizo gani kama Simba inaongoza kwa goli tatu bila na ni dakika ya 75 ya mchezo kumpumzisha Zimbwe na kumpa game time Gadiel Michael kumalizia dakika 15 za mwisho!!! Au hata 5 tu!!!!
 
Back
Top Bottom