Iiiiiiiiiiiiyu aaaaghha.

Iiiiiiiiiiiiyu aaaaghha.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Dhati izi veri embarassing.
Mcheki jamaa aliyekaa hapo kushoto.

1.JPG
 
wanafanya kampeni ya malaria au kuishinda Central African Rep!!!!??
 
Nini tatizo?, au kwa sababu anakuna pua yaani hana Pose?
 
Akitoka hapo anashake hands kama kawa... au analamba kidole...kitu gan bwana
 
Nakumbuka tukiwa wadogo tulikuwa tunakiita hiki anachokiondoa kwenye pua zake "MAKONDIKO" na ilikuwa tunaweka mdomoni baada ya kuondoa puani. Yana ladha ya chumvi chumvi. Sasa sijui na huyu jamaa ana mpango wa kutupia mdomoni?
 
Akitoka hapo anashake hands kama kawa... au analamba kidole...kitu gan bwana


Hiyo mbona kawaida. Vipi wanaoenda toilet kwa haja yoyote halafu wanatoka bila kunawa minono na kushake hands?
 
Dhati izi veri embarassing.
Mcheki jamaa aliyekaa hapo kushoto.

1.JPG
MImi nadhani aibu zaidi ni kwa mpiga picha... huwezi kuweka public hiyo photo

Alitakiwa aangile picha yote na sio cheki ya milioni mia moja
 
Hili ni fundisho kwa wapiga picha uchwala kila fani inahitaji ilimu (icra)
 
MImi nadhani aibu zaidi ni kwa mpiga picha... huwezi kuweka public hiyo photo

Alitakiwa aangile picha yote na sio cheki ya milioni mia moja

Siwezi kumlaumu mpiga picha hata kidogo, unapokuwa kwenye Public domain lazima ujue ni jinsi gani unatakiwa kiji-handle. Jamaa kweli anashindwa kununua handkerchief ya shilingi 1000? Matokeo yake ni kutia aibu kuchokonoa ukoko wa kamasi mbele ya hadhira.
 
Back
Top Bottom