IIhan Omar, kizazi cha kwanza tu mpaka House of rep. Very Hard working people!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Ametokea Somalia kaenda na familia yake USA kama Mkimbizi, hajui Kiingereza wala nini, kazaliwa mwaka 1982 huko Somalia, leo hii ni Legislator USA!
Huyu angekuwa Afrika, tungesema hajui Kiingereza na kuanza kumcheka wkt sisi wenyewe hakuna hata anayejua Kiingereza, lkn Wazungu wamemchagua kuwa Mbunge wao!!

,,Omar came to the US when she was 14 from a refugee camp in Kenya, a country which hosts hundreds of thousands of Somali refugees. She learned English in three months and later obtained a degree in political science".

Ilhan Omar becomes first Somali American legislator in the US

Wasomali wamekosa nchi tu, lkn hawa watu ni Mbegu nyingine kabisa!

1280px-Ilhan_Omar_01.jpg
 
Duh hii habari yako kidogo imenipa wakati mgumu kuelewa, ni kama vile unaongea mambo mengi kwa wakati mmoja na unajibu hoja nyingine kwenye hoja mpya uliyoanzisha wewe mwenyewe.

kwanza, umetoa taarifa nzuri ya huyo binti kupata kuwa legislator (very fine);

Pili umetueleza hajui kiingereza (this is highly questionable sijui atawasiliana vipi akiwa kwenye hiyo legislative assembly?);

Tatu umeshangaa kama angekua afrika tungesema hajui kiingereza (sasa kama hajui kiingereza ata kama yuko huko amerika tutasema tu hajui kiingereza),

Mwisho umejaribu kutueleza kwamba wasomali ni mbegu nyingine kabisa ila wamekosa nchi tu (Kimsingi watu wanaojielewa hawawezi kupigana kiasi cha kuharibu kabisa nchi yao hivyo ni kweli wao ni mbegu nyingine na ni mfano ulio wazi wa watu wasio na akili kabisa hapa dunia)

Asante kwa taarifa lakini.
 
wasomali wamekosa nchi kwani kwani somalia ni nchi ya wakina nani?

acha mawazo ya kipuuzi(mgando) wewe au haujui ya kuwa hata katika gunia la pumba huwezi kosa punje ya mhindi(mahindi)
 
Duh hii habari yako kidogo imenipa wakati mgumu kuelewa, ni kama vile unaongea mambo mengi kwa wakati mmoja na unajibu hoja nyingine kwenye hoja mpya uliyoanzisha wewe mwenyewe.

kwanza, umetoa taarifa nzuri ya huyo binti kupata kuwa legislator (very fine);

Pili umetueleza hajui kiingereza (this is very highly questionable sijui atawasiliana vipi akiwa kwenye hiyo legislative assembly?);

Labda haujanielewa tu, nimeandika kwamba alienda USA akiwa hajui Kiingereza, na imeandikwa humo ndani kwamba ametumia miezi 3 kujifunza Kiingereza na kuanza kusoma Chuo Kikuu na kuhitimu!
Pili nimesema kuwa kama angekuwa Afrika kwetu (Kusini mwa sahara) tungewekeza muda mwingi kukosoa Kiingereza chake ingawaje sisi wenyewe hatukijui hicho Kiingereza lkn kwa Wazungu ambao ndo lugha ya siyo ishu na ndo maana wamemwamini na kumpa kazi ingawaje amajifunzia Kiingereza ukubwani na bado anafanya makosa mengi tu ya kigrammer kwenye uongeaji!
 
wasomali wamekosa nchi kwani kwani somalia ni nchi ya wakina nani?

acha mawazo ya kipuuzi(mgando) wewe au haujui ya kuwa hata katika gunia la pumba huwezi kosa punje ya mhindi(mahindi)

Nimesema wamekosa nchi kwa sababu Nchi yao ina Vita kwa muda mrefu sana na ndiyo maana ni Wakimbizi Dunia nzima, hakuna Mtanzania Mkimbizi Dunia kwa sababu nchi yetu haina Vita!
 
kwa hiyo wa kuimaliza vita ya somalia ni nani? kama sio wasomali wenyewe?
na hao waliotapakaa katika nchi nyingine wamefanya nini cha maana?
 
Ni sawa ni Wasomali wenyewe, lkn kumbuka kwamba Mataifa ya nje yanaingilia Vita ya Somalia, hivi tunavyoongea kuna Majeshi ya USA, EU na vibaraka wao kama Kenya, Uganda &Co. wako Somalia kuibomoa Somalia, lkn bado Somali diaspora wana mchango mkubwa sana popote walipo, kuanzia Minneapolis USA, Sweden, Kenya mpaka Afrika Kusini, hii ni ishara tosha kwamba ni watu wanaojituma sana na haijalishi mazingira waliopo, they make good out of bad situation Wazungu wanasema!
 
basi watakuwa wajinga kama wamekubali mapandikizi uono jinsi uturuki fetullah gullein pamoja na vibaraka wake
 
Siyo rahisi kama unavyofikiria, usidhani nchi zote zenye Vita Dunia hii ni wajinga, ni sawa na kusema mtu aliyeugua Kansa au kupata ajali ni mjinga! Pengine labda usichokifahamu ni kwamba tofauti kati ya Tanzania ni Somalia au tofauti ya Tanzania yetu na Nchi yoyote ile yenye Vita siyo kwamba nchi zenye Vita ni wajinga na sisi ndo tuna akili Hapana, bali tofauti ni kwamba sisi tumepata bahati tu mpaka sasa ya kutokuwa kwenye geopolitical map ya Global powers, hiyo ndo tofauti yaani hakuna kitu Global powers wanachotaka kutoka kwetu, kila nchi ina potential ya civil war, hata USA yenyewe!
 
Duh hii habari yako kidogo imenipa wakati mgumu kuelewa, ni kama vile unaongea mambo mengi kwa wakati mmoja na unajibu hoja nyingine kwenye hoja mpya uliyoanzisha wewe mwenyewe.

kwanza, umetoa taarifa nzuri ya huyo binti kupata kuwa legislator (very fine);

Pili umetueleza hajui kiingereza (this is very highly questionable sijui atawasiliana vipi akiwa kwenye hiyo legislative assembly?);

Tatu umeshangaa kama angekua afrika tungesema hajui kiingereza (sasa kama hajui kiingereza ata kama yuko huko amerika tutasema tu hajui kiingereza),

Mwisho umejaribu kutueleza kwamba wasomali ni mbegu nyingine kabisa ila wamekosa nchi tu (Kimsingi watu wanaojielewa hawawezi kupigana kiasi cha kuharibu kabisa nchi yao hivyo ni kweli wao ni mbegu nyingine na ni mfano ulio wazi wa watu wasio na akili kabisa hapa dunia)

Asante kwa taarifa lakini.
Duh mkuu umeua kabisa ila una mawazo kama yangu
 
Ametokea Somalia kaenda na familia yake USA kama Mkimbizi, hajui Kiingereza wala nini, kazaliwa mwaka 1982 huko Somalia, leo hii ni Legislator USA!
Huyu angekuwa Afrika, tungesema hajui Kiingereza na kuanza kumcheka wkt sisi wenyewe hakuna hata anayejua Kiingereza, lkn Wazungu wamemchagua kuwa Mbunge wao!!

,,Omar came to the US when she was 14 from a refugee camp in Kenya, a country which hosts hundreds of thousands of Somali refugees. She learned English in three months and later obtained a degree in political science".

Ilhan Omar becomes first Somali American legislator in the US

Wasomali wamekosa nchi tu, lkn hawa watu ni Mbegu nyingine kabisa!

1280px-Ilhan_Omar_01.jpg
Daaaah Ila kazuri, akina trump watakua wanajipigia tu hapo
 
huko kwa makafiri hawa jamaa wanastawi na sasa wengi wanaingia kwenye vyombo vya kutunga sheria lakini kwao (Saudi Arabia, Yemen, Iran, Pakistani, Afighanstani, Kuwait, Somalia etc) makafiri hawafurukuti. kwa kasi yao ya kuzaana huko kwa Makafiri na uvivu wa kuzaa wa wenyeji (US na western Europe) soon watajaa wao
 
Back
Top Bottom