MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
- Thread starter
- #21
Ukweli husemwa:
Mkuu, report yenyewe ndiyo hiyo, halafu kumbuka Rais ni taasisi, Rais Jakaya Kiwete anaweza akawa hewani lakini kwa vile ni taasisi, uendeshaji wa nchi inakuwa uko active. Halafu tuondoe hii taswira ya kisiasa ya kuwa Rais anasafiri bila sababu yeyote. Hii ni dhana tu ya kisiasa inayojengwa katika jamii kuonyesha kama vile hafanyi kazi za nchi bali za kibinafsi.

Jasusi[B said:[/B];4832365]Uongozi bora au uongozi zero? Hivi tuna uongozi gani Tanzania? Rais ambaye kila kukicha yuko hewani. Call me vuvuzela but I think we are headed to arnachy.