Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

Qualcomm

Senior Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
177
Reaction score
138
G5.jpg
g6.jpg
g7.jpg
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Barafu ,Igunga.
g1.jpg
Wananchi wa kata ya Igurubi wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa njiani kuelekea Igunga kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 
Hivi wananchi gani wataacha kwenda kuwa siku sikiliza akina diamond ambao wamekuwa wakiwasikia kupitia radio? Uzuri wenye ccm yao wanajua ukweli kuwa ccm tuna hali mbaya
 
Hivi wananchi gani wataacha kwenda kuwa siku sikiliza akina diamond ambao wamekuwa wakiwasikia kupitia radio? Uzuri wenye ccm yao wanajua ukweli kuwa ccm tuna hali mbaya

diamond yuko zenj. Hapa kazi tu. Mtaisoma namba
 
Hivi wananchi gani wataacha kwenda kuwa siku sikiliza akina diamond ambao wamekuwa wakiwasikia kupitia radio? Uzuri wenye ccm yao wanajua ukweli kuwa ccm tuna hali mbaya
We mama diamond katoka wapi huku mbona alikuwa zanzibar igunga ametoka wapi.
 
umati mdooogo!hv anagombea ubunge?

Na Bahati Nzuri Sana Hata Ktk Umati Huo Unaouona Hapo Hakuna " Wapumbavu Na Malofa " Ambao Hujaa Kwa Wingi Wakimwangalia Mkuu Wa Wapumbavu Na Malofa Wao Akihutubia Kwa Dakika 3 Tu Huku Akitetemeka Na Kujambajamba Hovyo Jukwaani Huku Huo Umati Ukiwaibia Watu Simu Na Pochi Zao.
 
umati mdooogo!hv anagombea ubunge?

Hivi unajua umati hauna lolote kuhusu kura? nyie mnaopenda kuangalia umati na mkadhani wote watapiga kura mmeliwa, kampeni ni kampeni na kura ni kura. So far hayo ni makumi ya maelfu na hapo ni wilayani tu
 
View attachment 286483
View attachment 286484
View attachment 286485
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Barafu ,Igunga.
View attachment 286486
Wananchi wa kata ya Igurubi wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa njiani kuelekea Igunga kwenye mkutano wa kampeni za CCM.

Rais unamwangalia hata anavyosimama akiwa anaoñgea, mwili uko flexible juu mpaka chini siyo kama lile roboti. Hapa kazi tu.
 
Rais ,rais ,rais ,rais Dr. magufuli hoyeeeeeee. Hapa kazi tu. Watanzania tuna imani na Tinga tingaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Tutakutana kwenye sanduku la kura na ndipo hapo mtakapo fahamu kama huu ni umati mdogo.

CCM ina nyenzo za kazi na uwezo wa kazi.
 
Wa kumzuia yuko wapiii. Yule anayetetemeka akiongea dk 2 anaongezewa chajii? Huu Moto mwingine tunahitaji Maendeleo kwa Kasi ya super sonic.

Anashindwa hata kuishika mic anaomba ashikiwe ..angalia tibgatinga lilivyo makini
 
Back
Top Bottom