Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
Kweleakwelea Mungu akutangulie maana Igunga imevuta hisia za watu tofauti na mtazamo wa awali. Kuna kitu kipo behind the scene, noamba uchaguzi uende kwa amani na watu wajitokeze ili tuweze kuona matunda ya demokrasia na si uchachuaji.
Ahsante saana Mzee wa Rula ukweli umeuanika hadharani, wacha zile propro za wanamaghamba!!!!!!!!!!! Hiyo ni kazi kweli kweli!!!!!!!!!!WanaJF nitakuwa nawekea picha za mikutano ya CDM katika kipindi hiki cha lala salama, kwa kuanzia jionee hali halisi ambapo Mh. Freemani Mbowe alitua na chopa na kutema cheche.
View attachment 37953
View attachment 37954
View attachment 37955
View attachment 37956
View attachment 37957
Karibuni,
Mkuu tumekusoma kazi kwa kwenda mbele ila wahamasishe vijana wetu wasitumie jaziba watumie busara, ushindi ni wa uhakika Igunga CHADEMA JUUUUU!!!!!!!!!!!!leo tumefanya mikutano sita kwenye kata sita na chopa,pamoja na chopa tumeendelea na mikutano ya ndani,kimsingi tunashambulia kote kote
Umetishika nini, Naona macho yako hayaoni vizuri vaa miwani!!!!!!!!!!!!Wengi wamejitokeza kuishangaa helikopta. Majority ni watoto wa shule na watoto wadogo. Bila shaka karibu wote hawapo kwenye daftari la wapiga kura.
Ni mshangao tu kwa kwenda mbele halafu siku ya uchaguzi unabaki mshangao wa idadi ya kura.
Bwana mkandara jibu utalipata Jumapili sio mbali kazi kwako!!!!!!!!!!!!Mambo mawili muhimu zaidi..
1. Kati ya hawa wote ni wangapi wana kadi za kupiga kura?
2. Ni wangapi kati yao wataenda kupiga kura!
That's what count!