Wasiwasi wangu, na pengine kila mtu anayependa democrasia ya kweli, ni kwamba daftari la kupiga kura haliko sawasawa. tangu mwaka jkana halijawa updated kuingiza wale vijana walifikia miaka 18 katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Kwa hesaby za haraka haraka hawa wanafikia karibu 10,000. Hawa wote ni CDM kwa sabababu CCM imeshindwa kabisa kuwapa hjata matumaini isipokuwa umachinga.
pia kuna waliokufa ambao idadi yao ni kama 5,000. Kwa ujumla nyie mtaona tu, badala ya wapiga kura 171,000, watakaopiga kura itakuwa chini ya 40,000, na majina ya watu wengi yatakuwa hayapo kwenye orodha. NEC kimakusudi tu wanaweka majina siki 4 hivi kabla ya kupiga kura ili watu wasipate nafasi ya kurekebisha hali hiyo.
Kama CDM itashindwa, basi ni usimamizi mbovu wa NEC.