viongozi wa CUF wameendelea kuwasili ambapo leo wamewasili jussa, Hamad Rashid na salum barwany mbunge wa Lindi na mbunge wa kilwa kusini said Bungara ambapo kesho atawasili Juma Duni Haji waziri wa afya wa Zanzibar kwa Helkopta kwa kuanza kufanya mikuatano 86 katika tarafa zote Nne.