Igunga: Jussa, Hamad wawasili. Duni kutua kesho kwa Helkopta

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
viongozi wa CUF wameendelea kuwasili ambapo leo wamewasili jussa, Hamad Rashid na salum barwany mbunge wa Lindi na mbunge wa kilwa kusini said Bungara ambapo kesho atawasili Juma Duni Haji waziri wa afya wa Zanzibar kwa Helkopta kwa kuanza kufanya mikuatano 86 katika tarafa zote Nne.
 
Wanaendelea kuwasili kwani zimekuwa sherehe za harusi waambie huku si Pemba wamekuja kwa helkopta watarudi kwa guta.
 
wakiendelea na sera za kuiponda chadema wamejimaliza jambo ambalo nina shaka maana busara hiyo ni lipumba tu anayo
 
Karibu wana ngangari,hapo namkubali sana juma duni haji,nikiboko kwakujenga hoja,ni kiboko yawote hapo igunga mtajionea kwa duni na jussa hapo cuf wameleta jeshi la miamvuli kuliokoa jimbo la igunga ili likae ktk mikono salama ya cuf, songambele cuf jimbo mnajichukulia kiulaini.
 
Endeleeni kujifariji CCM B,watu wa CDM sie waongeaji sana bali ni vitendo tu ngoja tusubirie Oct 2
 
Aah wanandoa wanakuja kukamilisha honeymoon Igunga kwa chopa. Huku wanakamilisha honeymoon CDM songa mbele IGUNGA ni yetu
 
Ngangari kwa kuiga bwana! Wameskia Kamanda Mbowe anatua kwa helkopta Igunga nao eti wanampeleka Jusa kwa helkopta. CDM wakisema tunafanya mikutano kwa njia ya magari nao wanatumia magari. Sijui ni lini watakuwa wabunifu wa mbinu za kampeni za uchaguzi!
 
Wasituletee Uzanzibar wao...sisi wa Bara tuna akili zetu na tunauwezo wakuchagua viongozi tuwatakao...Uhamiaji wawe Standby kukagua vibali sie tukienda kwao c huwa wanafanya ivyo.
 
Ngangari kwa kuiga bwana! Wameskia Kamanda Mbowe anatua kwa helkopta Igunga nao eti wanampeleka Jusa kwa helkopta. CDM wakisema tunafanya mikutano kwa njia ya magari nao wanatumia magari. Sijui ni lini watakuwa wabunifu wa mbinu za kampeni za uchaguzi!

Wewe Tumbili juzi si ulianzisha thread ukiuliza zikuwapi Helkopta za CCM na CUF, zimekuja unaleta porojo! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
wanachofanya kafu igunga ni kugawa kura tu. Lipumba kutoka tabora si tiketi ya wao kushinda igunga
 
wanachofanya kafu igunga ni kugawa kura tu. Lipumba kutoka tabora si tiketi ya wao kushinda igunga

Unatamani wajiondoe kwakuwa mmebanwa..hadi kwenye goli..

Shindani mkuu huo utakuwa utaratibu ..vyama vyote vilivysajiliwa vina haki sawa..za kugawa kura hadi tujue nani amepata nyingi
 
wao wanaenda Igunga kwa sababu mme wao (Magamba) anaonekana kazidiwa na cdm yote ni kuharibu kura zetu hawana jipya
 
Karibu wana ngangari,hapo namkubali sana juma duni haji,nikiboko kwakujenga hoja,ni kiboko yawote hapo igunga mtajionea kwa duni na jussa hapo cuf wameleta jeshi la miamvuli kuliokoa jimbo la igunga ili likae ktk mikono salama ya cuf, songambele cuf jimbo mnajichukulia kiulaini.

Wanazidi kuwasili kushuhudia Mme wao anavyogalagazwa,Karibuni mumpe pole na kumfariji Bwaenu CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom