jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,323 Jul 30, 2012 #1 Yule mke wa kada wa kile chama kinachojipambanua kwa alama ya umma na kijiko inasemekana kajifungua na baba halisi wa mtoto kamtembelea mwanae akitokea mjengoni, vipi hapo wanafanana au hawafanani
Yule mke wa kada wa kile chama kinachojipambanua kwa alama ya umma na kijiko inasemekana kajifungua na baba halisi wa mtoto kamtembelea mwanae akitokea mjengoni, vipi hapo wanafanana au hawafanani
Asulo JF-Expert Member Jun 25, 2012 719 251 Jul 30, 2012 #3 Kwaheri nimepita tu naelekea Nzega labda nitarudi baadae
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,088 54,378 Jul 30, 2012 #4 Weka mambo hadharani mafumbo ya nini?
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,323 Jul 30, 2012 Thread starter #5 Kennedy said: Weka mambo hadharani mafumbo ya nini? Click to expand... swali liko wazi, huyo mtoto anafanana na kampeni meneja wa uchaguzi mdogo? Picha isitushinde kuitafsiri kwani haihitaji masters!!!!!
Kennedy said: Weka mambo hadharani mafumbo ya nini? Click to expand... swali liko wazi, huyo mtoto anafanana na kampeni meneja wa uchaguzi mdogo? Picha isitushinde kuitafsiri kwani haihitaji masters!!!!!
L Loloo JF-Expert Member Apr 9, 2011 214 54 Jul 30, 2012 #6 Hahaha very bright utakuwa ulipata first class ya social science
Jakubumba JF-Expert Member Mar 5, 2011 1,624 500 Jul 30, 2012 #7 jogi said: swali liko wazi, huyo mtoto anafanana na kampeni meneja wa uchaguzi mdogo? Picha isitushinde kuitafsiri kwani haihitaji masters!!!!! Click to expand... Jamani si mtiririke?
jogi said: swali liko wazi, huyo mtoto anafanana na kampeni meneja wa uchaguzi mdogo? Picha isitushinde kuitafsiri kwani haihitaji masters!!!!! Click to expand... Jamani si mtiririke?