akiongea na waandishi wa habari huko igunga meneja kampeni wa ccm mwigulu nchemba anasema wao wanaihofia cuf na sio chadema kwa kuwa uchaguzi wa mwaka jana walipata kura 11,321 na mgombea wa chama cha mapinduzi Rostam aziz alipata kura 28,643 kwa hiyo Cuf wanamtaji na mgombea wao ni yule yule ndio maana sasa tumeanza kuikabili CUF alisema mwigulu nchemba kampeni meneja wa CCM. soma majira 25.09.2011.